Bin Laden hatoonekana kamwe....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bin Laden hatoonekana kamwe....!

Discussion in 'Jamii Photos' started by vkeisy2006, May 14, 2010.

 1. vkeisy2006

  vkeisy2006 JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 230
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Kijiji huko afghanstan.... afghan 1.JPG . afghan 2.JPG c afghan 4.JPG h afghan 7.JPG ] afghan 6.JPG
  UKITAK Ahabari zaidi kwa JAYDEE...
   

  Attached Files:

 2. G

  Godwine JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  he was genius, nadhani dunia nzima inamfahamu civil eng anayeitwa BIN LADEN,
  ningepata nafasi ningefanya mahojiano na bin laden kwani nadhani ameshehena mawazo mengi sana
   
 3. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hataonekana tena kwasababu ameshakufa....shetani mkubwa yule, ameiwakilisha vyema dini yake....
   
 4. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,836
  Likes Received: 1,091
  Trophy Points: 280
  Jamaaa mwenyewe alishakufa tangu 2001, kilichomuua ni either kipindupindu au kidney failure. hakuna Osama tena ni kuogopa vivuli tu.
   
 5. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nashangaa wengine wanamfagilia, wakati alikuja kuua watz kibao hapa siku ile alipovurumisha mabom ubalozi wa wamarekani, waliokufa ni watz, na watz haohao wengine wanamsapoti na kuona kuwa anapigania dini yao....ajab kweli dini zingine.
   
 6. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kuna theory nyingi juu ya aliko Bin Laden, karibuni niliambiwa na mtu kutoka Pakistan kuwa Bin Laden anaishi ikulu ya Marekani aka White house, tena alinishangaa kwamba sikuwa ninafahamu hilo jambo kwani ni "kitu wanachokijua". Mh!
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  May 16, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  COnspiracy theorists wanasema al Qaeda na UBL is a big deal na watu wachache wananufaika na duru zinazoendelea kule. Maana last time I checked bajeti ya vita ilikuwa kwene around dola bilioni 78 or 80 hivi.. You can imagine hizo pesa zinatumbukia mahali fulani sidhani kaa mtu anayezipokea anatamani Osama 'afwe'..lol
   
 8. G

  Godwine JF-Expert Member

  #8
  May 16, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kupigwa kwa ubalozi wa marekani isiwe ndio sababu ya wewe kuhitimisha kuwa mtu fulani ni mbaya katika mapambano ya kutaka kupata kitu fulani inawezekana kuna watu wakaumia kwa bahati mbaya lakini lengo la mtu huyu ni kupinga uonevu unaoweza kufanywa na mataifa yenye nguvu kama urusi na marekati na kama ukiwa mfuatiliaji mzuri fuatilia mikanda ya akina MAO, CASTRO.NYERERE , HUGO CHAVES . MANDELA NA LULA D, SILVA utagundua kuna kitu kimoja katika ubongo wao ambacho ni tofauti na jamii ya wakati uo, kwahiyo jenga misingi yako ya ufuatiliaji kutokea kwenye kitu hicho utapata kitu kimoja muhimu ingawa unaweza kuona mapungufu mengine ila wewe tumia mazuri ya watu awa
   
 9. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #9
  May 16, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kuna mazuri gani aliyofanya osama bin laden? na we mfuasi wake nini?
   
 10. G

  Godwine JF-Expert Member

  #10
  May 16, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Alifanikisha kuyatoa majeshi ya kivamizi ya urusi afaghanistani na vile vile kupinga kutawaliwa kwa nchi za kiarabu na majeshi ya marekani hii tosha ni kiashiria ni mpinga matumizi ya nguvu duniani, pili ni mfano wa watu shupavu wasioogopa kushindana na mataifa ya kibeberu na mtu anayejiamini daima mambo hayo tunaweza kuyatumia katika kutengeneza sera za mataifa yetu na tukakataa kutungiwa sera na mabeberu .

  si lazima uwe gaidi ili kuona meme ya bin laden
   
Loading...