Bima ya Afya

Huko ni kuandaa mazingira ya kupewa KURA YA NDIYO 2015, baada ya Uchaguzi,Utekelezaji wake ni Maumivu/Uchungu kwa Wananchi zaidi ya kumeza tembe za chloroquine.
Kura ya ndio ni ndoto labda kura ya ndio kupitia tume ya taifa ya uchaguzi.
 
Nafurahi kuwa na bima ya afya kwa hii January pekee ni save zaidi ya laki 3 kwakua natumia nhif.
 
Back
Top Bottom