nicholaussixtus
Member
- Sep 4, 2022
- 9
- 9
je!? yale malipo ya bima ya afya, iwapo muhusika atopata huduma kwa kutopata maradhi ndani ya kipindi husika.
mfuko hufanya nini na hizo pesa!???
Nashauri
mfuko kurudisha fedha za mwana mfuko endapo atozitumia kupata huduma.
mfuko hufanya nini na hizo pesa!???
Nashauri
mfuko kurudisha fedha za mwana mfuko endapo atozitumia kupata huduma.