Usinifokee
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,502
- 3,525
Ukweli ni kwamba wanaokuwa i/c wanaelewa linapokuja suala la wao kwenda kuchukua statement ya malipo huko kwa wahusika....Nikiwa field hospital eneo fulani niliwahi ambiwa mama mjamzito akija clinic uliangalia tumbo hataridhika kabisa hata kama ujauzito una miezi miwili atataka tu umsikilize mtoto ivoivo ndo ataenda nyumbani na furaha.
The same kwako mtoa mada,
1. Issue ya kupimwa kipimo inaendana na level ya kituo, umeenda dispensary au kituo cha afya na maelezo yako yanakiashiria cha U.T.I kwanini usipimwe mkojo? Upo na bima ya afya kwanini usiende hospital kubwa ambapo kama unataka utapimwa kipimo cha damu, mkojo, haja kubwa etc?
Hilo la wewe kutaka kupimwa kitu ambacho hakina viashiria kiuhalisia ni kumfundisha daktari kazi hata nikiwa mimi sitakubali.
2. Vyumba vya daktari ni kweli unakuta mpaka saba ila madaktari waliopo ni watatu halafu mmoja amepata emergency, mwingine anahudumia waliopo wodini na mmoja akawepo pale kwenye chumba kimojawapo. Ni kweli hao wengine waache kuhudumia waliopo wodini wakuhudumie wewe tu?
Kama unabima ni vizuri ukaenda hospital kubwa kama unaweza hayo makasiriko yatapungua mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dunia hii dahBima Inayoongoza kwa upuuz na ujinga Ni NSSF daa tabuu tupu.Tutafte pesa tu ndg zangu
NinYaani mtu unajieleza weee halafu daktari anakwambia nenda maabara ukifika eti unapimwa malaria.
Daktari ukimwambia akupime na vitu fulani fulani anakataa tena mwingine anaona kama unamfundisha kazi. Yaani mtu kuandika tu ukapimwe kitu fulani anaona kama anafanya kazi ya mkwe!
Dawa kila siku ni amoxicillin piriton alu na paracetamol ndizo zilizopo. Dawa nyingi unaambiwa ukanunue
Halafu kuna kero nyingine nayo ngoja niiweke humu...
Zamani ukienda hospital fasta tu ila saivi utasotea hapo nje ukisubiri eti wamalize usafi
Usafi ukiisha wanaanza kupanga ofisi zao unakuta karibu lisaa eti wanaandaa. Mapokezi hapo foleni yake ya kufa raia na pale huwa hawana hiyana akianza kaanza
Ukitoka mapokezi unaambiwa nenda kwa daktari huko kwa daktari ndo utalia sasa. Kwanza chumba chenye uhakika wa kuwepo daktari unakuta ni kimoja tu wakati kuna milango karibu saba na yote imeandikwa chumba cha daktari.
Basi mnafika mnajazana hapo kwenye chumba cha daktari na si ajabu hayupo mpaka anakuja kuwasikiliza ni lisaa lingine mbele. Mkitoka ngwe hiyo mnakwenda kupigishwa mark time maabara nako tena
Maabara ndo kabisa kama una moyo wa hasira hutadumu yaani. Kwanza mpaka ashike hizo document zenu ni kipengele na Jamaa kisha anachukua makaratasi yenu yote anaita mmoja mmoja anawatoboa vidole na kuwapa vichupa (malaria na mkojo ndo vipimo maarufu utakavyopimwa ukifika maabara)
Ngoma majibu sasa badala atoe kwa kadiri anavyowapima eti anasubiri karibu awamalize wote ndipo utasikia akiwapa majibu mrudishe kwa daktari
Maana yake mwendapanga foleni upya kwa daktari tena. Mkitoka hapo mnaenda kupigishwa foleni kwenye dawa napo
Siku moja nimeenda Ruangwa Hospital aisee asubuhi sana nikakaa pale nje usafi wakaja kumaliza saa saa 2:30 okay tumejipanga kwenye mabenchi wakaanza kuweka vitu hapo kama haikuchukua saa na nusu sijui tukavumilia
Wameanza huduma tena wagonjwa kwenda kwenye milango ya madaktari hakuna dokta hata mmoja nakumbuka alikuja daktari mmoja kwenye kama saa nne hivi ndo akaanza kuhudumia.
Kwenda maabara nakumbuka tukamkuta mdada wa usafi anafanya usafi tulikaa pale nje kama wehu mara jamaa anavuka mara anarudi baadae ndo akaja kuchukua makaratasi hayo akapima watu weee wakaisha waliokwepo pale
Basi tulikaa pale aisee mpaka unawaonea huruma wale wagonjwa waliozidiwa. Jamaa kaja kuwapa majibu sijui saa saba halafu ndo foleni kwa daktari tena halafu foleni zinakuwa mbili sasa ya wapya wanaoingià kwa daktari na wanaorudisha majibu yaani balaa tupu
Tuache yote hayo narudi kwenye topic yangu ni kwamba TUKIONDOA VIHOMA VIDOGOVIDOGO HIVI VYA KAWAIDA NA KULAZWA- BILI YA KITANDA, UKIONDOA HIVYO VITU VIWILI BIMA YA AFYA HOSPITALINI (ZAHANATI, KITUO CHA AFYA NA HOSPITAL) HAINA MSAADA WOWOTE NI UJINGA TU
Hapa umachanganya mambo. Kwanza, ninakubaliana na wewe kuhusu changamoto za bima ya afya,hasa ya taifa, NHIF. Lakini, katika makala yako, mambo mengi uliyoyasema si ya bima ya afya bali ni udhaifu wa hsptl husika. Je, kero za foleni huko Ruangwa ni kwa watu wa bima pekee? Tabia ya kuchelewa kuanza kazi,kwa mfano, inahusianaje na bima ya afya?Yaani mtu unajieleza weee halafu daktari anakwambia nenda maabara ukifika eti unapimwa malaria.
Daktari ukimwambia akupime na vitu fulani fulani anakataa tena mwingine anaona kama unamfundisha kazi. Yaani mtu kuandika tu ukapimwe kitu fulani anaona kama anafanya kazi ya mkwe!
Dawa kila siku ni amoxicillin piriton alu na paracetamol ndizo zilizopo. Dawa nyingi unaambiwa ukanunue
Halafu kuna kero nyingine nayo ngoja niiweke humu...
Zamani ukienda hospital fasta tu ila saivi utasotea hapo nje ukisubiri eti wamalize usafi
Usafi ukiisha wanaanza kupanga ofisi zao unakuta karibu lisaa eti wanaandaa. Mapokezi hapo foleni yake ya kufa raia na pale huwa hawana hiyana akianza kaanza
Ukitoka mapokezi unaambiwa nenda kwa daktari huko kwa daktari ndo utalia sasa. Kwanza chumba chenye uhakika wa kuwepo daktari unakuta ni kimoja tu wakati kuna milango karibu saba na yote imeandikwa chumba cha daktari.
Basi mnafika mnajazana hapo kwenye chumba cha daktari na si ajabu hayupo mpaka anakuja kuwasikiliza ni lisaa lingine mbele. Mkitoka ngwe hiyo mnakwenda kupigishwa mark time maabara nako tena
Maabara ndo kabisa kama una moyo wa hasira hutadumu yaani. Kwanza mpaka ashike hizo document zenu ni kipengele na Jamaa kisha anachukua makaratasi yenu yote anaita mmoja mmoja anawatoboa vidole na kuwapa vichupa (malaria na mkojo ndo vipimo maarufu utakavyopimwa ukifika maabara)
Ngoma majibu sasa badala atoe kwa kadiri anavyowapima eti anasubiri karibu awamalize wote ndipo utasikia akiwapa majibu mrudishe kwa daktari
Maana yake mwendapanga foleni upya kwa daktari tena. Mkitoka hapo mnaenda kupigishwa foleni kwenye dawa napo
Siku moja nimeenda Ruangwa Hospital aisee asubuhi sana nikakaa pale nje usafi wakaja kumaliza saa saa 2:30 okay tumejipanga kwenye mabenchi wakaanza kuweka vitu hapo kama haikuchukua saa na nusu sijui tukavumilia
Wameanza huduma tena wagonjwa kwenda kwenye milango ya madaktari hakuna dokta hata mmoja nakumbuka alikuja daktari mmoja kwenye kama saa nne hivi ndo akaanza kuhudumia.
Kwenda maabara nakumbuka tukamkuta mdada wa usafi anafanya usafi tulikaa pale nje kama wehu mara jamaa anavuka mara anarudi baadae ndo akaja kuchukua makaratasi hayo akapima watu weee wakaisha waliokwepo pale
Basi tulikaa pale aisee mpaka unawaonea huruma wale wagonjwa waliozidiwa. Jamaa kaja kuwapa majibu sijui saa saba halafu ndo foleni kwa daktari tena halafu foleni zinakuwa mbili sasa ya wapya wanaoingià kwa daktari na wanaorudisha majibu yaani balaa tupu
Tuache yote hayo narudi kwenye topic yangu ni kwamba TUKIONDOA VIHOMA VIDOGOVIDOGO HIVI VYA KAWAIDA NA KULAZWA- BILI YA KITANDA, UKIONDOA HIVYO VITU VIWILI BIMA YA AFYA HOSPITALINI (ZAHANATI, KITUO CHA AFYA NA HOSPITAL) HAINA MSAADA WOWOTE NI UJINGA TU
Acha kulalamika. Kura yako ndio inakutesa.Yaani mtu unajieleza weee halafu daktari anakwambia nenda maabara ukifika eti unapimwa malaria.

Cipro, Metronidazole na Paracetamol...KWISHAdawa maarufu kwa bima ni Sipro,yani piga ua ukienda na bima yako kutibiwa lazima utakutanishwa na Sipro[emoji25][emoji25]
Bima Inayoongoza kwa upuuz na ujinga Ni NSSF daa tabuu tupu.Tutafte pesa tu ndg zanguBima Inayoongoza kwa upuuz na ujinga Ni NSSF daa tabuu tupu.Tutafte pesa tu ndg zangu
Mleta mada ana hoja ya msingi, niliwahi kumuuliza jamaa yangu Dr anayefanya kazi kwenye Hospitali flani inayopokea bima (NHIF) akaniambia wanazuiwa kumuandikia mgonjwa vipimo vingi, jambo ambalo linawa limit kwenye kufanya diagnosis..Nyie ndio nilikuwa nawatafuta....
Hivi ni nani alowaambia hizo bima ni kwaajili ya kufanya unalolitaka?
Nafikiri zimewekwa kwaajili ya matibabu siyo kwaajili ya kingine tofauti na matibabu....
Dr. Ndiye atakayetoa ruhusa au ku initiate kipimo ila siyo wewe ndio hivyo boss....
Vumilia tu
BIMA zinafuata muongozo wa kimatibabu STG na siyo hisia na miemko yako....
Usitoe lawama, ila waambieni na waombeni waiboreshe
At least wewe umenichallenge KakaMkubwa, hatahivyo A na B yote ni majibu sahihiNin
Hapa umachanganya mambo. Kwanza, ninakubaliana na wewe kuhusu changamoto za bima ya afya,hasa ya taifa, NHIF. Lakini, katika makala yako, mambo mengi uliyoyasema si ya bima ya afya bali ni udhaifu wa hsptl husika. Je, kero za foleni huko Ruangwa ni kwa watu wa bima pekee? Tabia ya kuchelewa kuanza kazi,kwa mfano, inahusianaje na bima ya afya?
Hiyo ni mifano michache ya udhaifu wa makala yako. Ungejikita kwa mambo ambayo ni ya bima ya afya kama kichwa cha habari kilivyoandikwa. Tofautisha udhaifu wa hsptl na ule wa bima ya afya.
Asante
Nikienda hospitali huwa siwazagi ugonjwa wanguYaani mtu unajieleza weee halafu daktari anakwambia nenda maabara ukifika eti unapimwa malaria.