Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,523 Reaction score 14,002 Jan 20, 2018 #1 Habari za wikiendi? Naomba kujua kwa wanaojua,kampuni ipi hutoa travel insurance kwa mtu anayetaka kusafiri abroad kwa mwezi mmoja. Gharama zake zikoje? Asante ni sana!
Habari za wikiendi? Naomba kujua kwa wanaojua,kampuni ipi hutoa travel insurance kwa mtu anayetaka kusafiri abroad kwa mwezi mmoja. Gharama zake zikoje? Asante ni sana!