Billy Clinton avitembelea vikundi chini ya taasisi yake TZ

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,455
Rais wa zamani wa Marekani Bw. Bill clinton amefanya ziara ya kukagua moja ya vikundi ambavyo vimekuwa vikifadhiliwa na taasisi yake ya clinton foundationi kwa ushirikiano wa shirika la kimataifa la plan,care na barclays ambapo amejionea shughuri mbalimba zinazofanywa na kikundi hicho cha upendo hisa Group kilichopo Mtambani Vingunguti jijini Dar es salaam .

Akizungumza mara baada ya kushuhudia shughuli mbalimbali zinazo endeshwa na kikundi hicho ikiwemo kutembelea miradi inayofanywa na wanakikundi hao clintoni amesema ameridhishwa na mpango huo unavyoendeshwa ambapo amewapongeza wanakikundi hao kwa jitihada zao wanazo zifanya katika kujiletea maendeleo wao binafi mbali na mkopo waliopatiwa kupitia mpango

Wakizungumzia mpango huo mshauri wa masuala ya biashara wa shirika la plan na mkuu wa wawafanyakazi ofisi ya mtendaji mkuu wa barclays wamesema mpango wa "banking on change" ambao umelenga kuwasaidia watu masikini umetekelezwa hapa nchini kwa muda wa miaka 3 ambapo mpaka sasa umesha wafikia watu 60 huku asilimia 80 wakiwa ni wanawake na kufafanua kuwa mpango huo utaendelea tena kwa miaka 3 ambapo katika kipindi hicho mpango huo umelenga zaidi kusaidia kundi la vijana.

Akiwa katika eneo hilo Bw Clinton alipata nafasi ya kutembelea baadhi ya mitaa ya eneo hilo na kusalimiana na wananchi mbalimbali waliojitokeza kushuhudia tendo hilo
 
Attachments

  • 954760_413698128741167_832560094_n.jpg
    954760_413698128741167_832560094_n.jpg
    38.4 KB · Views: 557

Upendo wa Marekani kwetu mbona unakua kwa kasi sana siku hizi!? Hakuna kitu kweli kilichojificha?
 
Nahisi wamarekani wameamua kuwatumia maraisi wao kuwekeza.

Hakuna uwekezaji hapo, ni wenye akili ndogo tu watakao tambia ziara hizo. Ikumbukwe Prof. Baregu aliwahi kusema "Wamarekani wanayo maslahi ya kudumu na wala hawana urafiki wa kudumu"
 
Obama na kichaka tulikula nao dinner juzi hapa, halafu Leo Clinton tuko naye vingunguti tunapiga supu ya mapupu,hawa jamaa wanapoondoka USA kuja vingunguti wanaaga kwamba wanakuja kufanya nini? Inatia Shaka, usikute sisi ni moja ya wilaya mpya za USA!!!
 
Upendo wa Marekani kwetu mbona unakua kwa kasi sana siku hizi!? Hakuna kitu kweli kilichojificha?
Baada ya viongozi wetu kupoteza Amana toka kwa wafadhili, siku hizi wanaamua kuja kukagua kazi zinazofanywa kutokana na Pesa zao. Zamani walituma mapesa, CCM na viongozi wa serikali yake walikuwa wanatafuna
 
Hakuna uwekezaji hapo, ni wenye akili ndogo tu watakao tambia ziara hizo. Ikumbukwe Prof. Baregu aliwahi kusema "Wamarekani wanayo maslahi ya kudumu na wala hawana urafiki wa kudumu"

Mkuu kungekuwa kuna uwazi nchini nisingekuwa na wasiwasi. Kumbuka jaribu kukumbuka Clinton amekuja mara ngapi nchini, aliyewahi kuwa makamu wake Algore, Bush. Ikumbukwe kwamba kwa Marekani viongozi wao ni wafanyabiashara wakubwa kwa hiyo wanaweza kuja kupitia mlango wa Foundations na misaada lakini nyuma wanawabeba wafanyabiashara wakubwa. Nadhari bado hujasahau msafara wa Rais Obama wa watu 700+. La muhimu ni kuwa makini na kutokuuzwa, mikataba yote izingatie maslahi ya watanzania.
 
Prof Baregu ni msomi mzuri wa siasa za Mwalimu, I do respect him for that and many more. Tuangalie bidhaa za mchina tunazouziwa hapa Bongo, japo ni bei rahisi lakini hazidumu kabisa. Angalia hao wachina wanavyo jiingiza katika wazi wa pembe za ndovu, madini yetu na Ukahaba (kuwapeleka dada zetu Hong kong na kuwatumikisha katika madangulo pamoja na Unga). Tujaribu kuwapima wamarekani na wachina, tusijikite sana na akili za kuambiwa
 
Obama na kichaka tulikula nao dinner juzi hapa, halafu Leo Clinton tuko naye vingunguti tunapiga supu ya mapupu,hawa jamaa wanapoondoka USA kuja vingunguti wanaaga kwamba wanakuja kufanya nini? Inatia Shaka, usikute sisi ni moja ya wilaya mpya za USA!!!

Hata mimi nimeshtushwa nilipomwona huyu bwana mkubwa. Kuna nini hao marais wa Marekani wanapigana vikumbo huku kwetu? Jamani,.tuko salama kweli au ndo tushauzwa? Labda kweli ni mkoa kama siyo wilaya ya Marekani. This is too much.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mkuu kungekuwa kuna uwazi nchini nisingekuwa na wasiwasi. Kumbuka jaribu kukumbuka Clinton amekuja mara ngapi nchini, aliyewahi kuwa makamu wake Algore, Bush. Ikumbukwe kwamba kwa Marekani viongozi wao ni wafanyabiashara wakubwa kwa hiyo wanaweza kuja kupitia mlango wa Foundations na misaada lakini nyuma wanawabeba wafanyabiashara wakubwa. Nadhari bado hujasahau msafara wa Rais Obama wa watu 700+. La muhimu ni kuwa makini na kutokuuzwa, mikataba yote izingatie maslahi ya watanzania.

Biashara kila pande uvuta kwake, cha maana viongozi wetu kuweka maslahi ya Taifa kwanza badala ya kilazimisha 20%
 
Obama na kichaka tulikula nao dinner juzi hapa, halafu Leo Clinton tuko naye vingunguti tunapiga supu ya mapupu,hawa jamaa wanapoondoka USA kuja vingunguti wanaaga kwamba wanakuja kufanya nini? Inatia Shaka, usikute sisi ni moja ya wilaya mpya za USA!!!
tehee...tehee..teheee..... bora hiyo huwenda sisi ni punda ila hatujui
 
nasikia hata Oprah Winfrey alikuwa hapa juzi!!
Kunani hapa?
 
Prof Baregu ni msomi mzuri wa siasa za Mwalimu, I do respect him for that and many more. Tuangalie bidhaa za mchina tunazouziwa hapa Bongo, japo ni bei rahisi lakini hazidumu kabisa. Angalia hao wachina wanavyo jiingiza katika wazi wa pembe za ndovu, madini yetu na Ukahaba (kuwapeleka dada zetu Hong kong na kuwatumikisha katika madangulo pamoja na Unga). Tujaribu kuwapima wamarekani na wachina, tusijikite sana na akili za kuambiwa

In fact my argument never based on an alternative to the Americans. What is needed is to let all stakeholders meaning all Tanzanians from various sections, the elites, civil organizations, religious leaders,politicians, our security departments to cod what business studies call stock taking. After realizing what we have in our stores of natural resources meaning, gas, minerals, gemstones, game park, fishing industry and forests to mention a few. Then we put our priorities what do we need to harvest, looking into various factors such as our capacity in terms human resources, capital, market and so on.

What I see today is as if we are being told that Tanzania will end up after the fourth phase, thus why we are very busy signing contracts without considering the future generations. It if foolishness to trust CCM leadership to be the custodian of the natural resources of this country. There are several people who are neither CHADEMAnor CCM members.

It is high time to sit down and re evaluate what have we benefitted so far Since CCM leadership invited the multination companies under Mkapa Regime and Now JK. "Waswahili walisema UKICHEKA NA NYANI UTAVUNA MABUA"
 
Jaman Tz kunani palee., kama ni support nadhan hatuna kisingizio tena. Wachina, wathailand na wamereken ndio usiseme. Bas tujishike nao nas tutoke katika hizo fursa au kuna jingine nyuma ya paziaaaa!!!! Mmmh Mungu onyesha njia Tz

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
somallia,sudan,chad..nk mbona wanashida kuliko sisi?!! inakuwaje hapa? US Always need something in return,akaanze huko Somalia kwanza..
 
In fact my argument never based on an alternative to the Americans. What is needed is to let all stakeholders meaning all Tanzanians from various sections, the elites, civil organizations, religious leaders,politicians, our security departments to cod what business studies call stock taking. After realizing what we have in our stores of natural resources meaning, gas, minerals, gemstones, game park, fishing industry and forests to mention a few. Then we put our priorities what do we need to harvest, looking into various factors such as our capacity in terms human resources, capital, market and so on.

What I see today is as if we are being told that Tanzania will end up after the fourth phase, thus why we are very busy signing contracts without considering the future generations. It if foolishness to trust CCM leadership to be the custodian of the natural resources of this country. There are several people who are neither CHADEMAnor CCM members.

It is high time to sit down and re evaluate what have we benefitted so far Since CCM leadership invited the multination companies under Mkapa Regime and Now JK. "Waswahili walisema UKICHEKA NA NYANI UTAVUNA MABUA"
This CCM (Mkapa and JK regimes) is draining our country, our children will be slave in their own country. The 99 years contracts they have been signing, it is insane. We need to come out and educate at least two people per day, at the end of 2015, CCM will be out
 
Back
Top Bottom