Ni kali kwa flows ila full sampling ya beat, melody ni ya "Loyal" ile ya chrisbrown ft. Wayne.
Hawa ma producers wetu inabidi wawe creative zaidi, ku copy ideas kunachosha ingawa wao wanaona ujanja. Bongo flava inabidi ibaki na ID yake ile ile. T.Touch ndio anaipatia hawa wengine wanaharibu mno,