Kisa? Wivuhivi mmarekani amechemsha kabisa kuwaharibia hawa jamaa?nna hamu kuwaona wakimbizi siku moja wajue upande mwingine wa shilingi wa maisha na fujo zao hizi.
Haya mambo ni huko huko arabuni tu, hakuna pande nyingine duniani watakubaliana na huo mfumo, eti uwaambie watu haya mafuta ni ya babaangu alafu unachoma moto hela huku watu wengine wanakufa njaa hawana haki ya kusema chochote.
Hii system yao ya maisha ni ya kinyoko kabisa kuliko ya mabepari, how come watu wajimilikishe natural resourcess? Nani kasema hii kitu? Hii ni dhuluma kwa wazawa wengine wa huko, halafu wanajifanya watu wa Mungu na nyinyi mnakubaliana nao.
Waarabu kwa kukufuru mwisho pesa zikiwa zipo nyingi matokeo yake unakufuru ngojea ipo siku Simba hao hao watamla nyama huyo Billionea ndio itakuwa mwisho wa maisha yake. Wanyama wetu hao tumewauzia sisi wenyewe kazikweli ipo jamani.
impressive yachts
Wengi wanao enjoy vitu kama hivi wanatoka koo za kifalme
Swali:
1.Tunaishi nao hapahapa duniani?
2.Tunatumia jua hilihili1?
3.Na wao wanavuta hewa kutumia pua kama sisi?
4.Wanakula na kunya kama sisi?
Kama jb ni ndio basi mwenyezi Mungu ana makusudio yake!
Kisa? Wivu