Billionaire wa Tanzania 2016 Forbes

NDEO

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
813
188
1456880959439.jpg
1456880975559.jpg
 
Tatizo la nchi yetu hii! Huwezi kumgundua bilionea kwa hivyo Vijarida
 
Huwa najiuliza siku zote utajiri wa hawa wahindi ni kwa faida ya nani? Rostam tunaambiwa ni bilionare tujiulize anamiliki nini hapa TZ? Au akishatuiibia anapeleka nje tu? Ila haya ndio watawala wetu wanataka kwani ndio wanaowasaidia KUTUIBIA
 
Ukicheki sourcesof wealth za Rostam ni Telcoms ( vodacoms) na Investiment
 
Kwenye kujisifia na utajiri wao kama nchi ni sawa, kwenye maslahi yenu ya kisiasa ni hizbu!
 
Back
Top Bottom