Ijumaa tarehe 26.11.2015 rafiki yangu alifika Billcanas Club kwa ajiri ya kujifurahisha ambapo Club hiyo ilikuwa inazinduliwa upya baada ya kufunga mitambo mipya.
Alipofika mlangoni, alilipa kiingilio cha shs 10,000. Akaomba risiti ya malipo lakini hakupatiwa. Akasisitiza na kuambiwa hapa hakuna risiti. Risiti ni haki ya mlipaji. Risiti uonesha serikali inapata kodi kiasi gani kutokana na tozo. Naomba ukumbi huu na kumbi zote zianze kutoa risiti mara moja la sivyo TRA iwafungie.
Ukumbi unaobeba watu 2000. wakilipa 10,000. ni sawa na 20,000,000. Ni pesa nyingi zinapotea, hapo bado vinywaji ninauzwa bei ya juu sana ndani bila risiti yeyote. TRA chunguzeni hizi sekta za burudani, taifa linapoteza mapato humo.