Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peke yake kutoka Africa kwenye hiyo list
utajiri unapimwa kwa gross turnover ikiwemo charity causes (ambazo kibiashara zinahesabika kama gharama).Si sahihi Mkuu.
Tajiri wa kwanza Jeff Bezos ana dola bilioni 125.
Tajiri wa pili Arnault ana dola bilioni 108.
Wakati tajiri wa tatu ni Bill Gates ambaye ana dola bilioni 107, hapo bila kuhesabu zaidi ya dola bilioni 35 alizotoa msaada kwenye Bill & Melinda Gates Foundation.
Hivyo kama ukiweka dola bilioni 35 katika bilioni 107, Bill Gates kiuhalisia bado anakuwa tajiri namba moja kwa sababu atakuwa na dola bilioni 142 ambazo tajiri wa kwanza duniani hajazifikia.
Bado natafuta wa kutoka Tanzania!
na bado anatoa sana, kama Mengi alivyokuwa anatoa umlinganishe na bakhresa na Mo dewji pamoja na manji ambao huwa hawatoi kitu kabisa zaidi ya kuwapa ombaomba biriani ambayo hata wema sepetu anaweza kuwapa.Bill Gates angetaka kusitisha msaada anaotoa kwa nchi masikini sidhani kama kuna anaeweza kumfikia kwa utajiri. Mpaka sasa ameshatoa "three quoter" ya utajiri wake kusaidia masikini duniani. Fuatilia mfuko wa global fund utajua nini Bill gates anafanya duniani kwa watu masikini ukiwemo wewe hapo.
utajiri unapimwa kwa gross turnover ikiwemo charity causes (ambazo kibiashara zinahesabika kama gharama).
so, hiyo 107B humo ndani kuna vyote ulivyovitaja.
OK. an oversight on my part.Si sawa.
Umesoma walichoandika Bloomberg?
Were it not for Gates’s philanthropic giving, he’d still be the world’s richest person. Gates has donated more than $35 billion to the Bill & Melinda Gates Foundation. Bezos’s net worth is up slightly this year to $125 billion, even after reaching a divorce settlement with MacKenzie Bezos that made her the world’s fourth-richest woman.
Sio kila mtu anatoa ili watu waone kwamba anatoa.na bado anatoa sana, kama Mengi alivyokuwa anatoa umlinganishe na bakhresa na Mo dewji pamoja na manji ambao huwa hawatoi kitu kabisa zaidi ya kuwapa ombaomba biriani ambayo hata wema sepetu anaweza kuwapa.
pumbavu kweli wewe, watu wanatoa waonekane na wengine waige mfano,Sio kila mtu anatoa ili watu waone kwamba anatoa.
africans tumeaminishwa vtu ambavo havipo. Kama magonjwa hayo wameyengeneza wao mbona na wao yawauwa eg mafuaKipo kitu kama hicho.
Ebola Vipi?africans tumeaminishwa vtu ambavo havipo. Kama magonjwa hayo wameyengeneza wao mbona na wao yawauwa eg mafua
unafahamu chimbuko la ubora ni nn. Ukifuatilia nchi znazopata ebola in ambazo raia wake wanakula chipanzee na kuusambaza ugonjwa uwo kwa nchi yengine.Ebola Vipi?
Una ushahidi kwamba wao ndio wanatengeneza magonjwa?Hawa jamaa wanapiga hela ndefu, wanatengeneza maradhi, watu wanakufa, pia wanapiga hela nyingi kupitia makampuni ya madawa, washenzi sana
Ona unathubutu kubishana na source ya kuaminiwaSi sahihi Mkuu.
Tajiri wa kwanza Jeff Bezos ana dola bilioni 125.
Tajiri wa pili Arnault ana dola bilioni 108.
Wakati tajiri wa tatu ni Bill Gates ambaye ana dola bilioni 107, hapo bila kuhesabu zaidi ya dola bilioni 35 alizotoa msaada kwenye Bill & Melinda Gates Foundation.
Hivyo kama ukiweka dola bilioni 35 katika bilioni 107, Bill Gates kiuhalisia bado anakuwa tajiri namba moja kwa sababu atakuwa na dola bilioni 142 ambazo tajiri wa kwanza duniani hajazifikia.
Halafu magonjwa wanatungenezea wao.
Na dawa wao westerners wanatuchezea akili.
Na misaada juu!!!
👍! Mfano kipindupindu kinatuonyesha jinsi tusivyojali usafi hapa tatizo si wazungu ila ujinga wetuHivi unajua chanzo cha malaria mkuu?. Msiwasingizie wazungu mengine ni kwa ujinga wetu tu.
Ebola ni Viral Infection. Kirusi cha Ebola ni jamii ya Filoviruses (Filoviridae) na kimekuwepo kabla hata ya maendeleo ya Teknolojia ya uhandisi wa vinasaba na mpaka miaka ya sabini ndipo kikaonekana baada ya mlipuko wa ugonjwa wenyewe huko Zaire.Ebola Vipi?