Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,591 Reaction score 43,013 Aug 23, 2020 #41 Mjumbe Wa Buza said: Click to expand... matajiri
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,370 Reaction score 14,522 Aug 24, 2020 #42 Hiyo ni Bahati ya wachache kwamba unapata pesa ukiwa bado na wazazi wako wakifaidi matunda ya mafanikio yako.
Hiyo ni Bahati ya wachache kwamba unapata pesa ukiwa bado na wazazi wako wakifaidi matunda ya mafanikio yako.
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,681 Reaction score 9,575 Aug 25, 2020 #43 sisi tuendelee na AST-Wazwalendo
M Mchajikobez JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 371 Reaction score 540 Aug 25, 2020 #44 Mnyenz said: Kwa hiyo huyo ndio mzee Gates mwenyewe mwenye mtoto wa kuitwa Bill? Click to expand... Huyo alizaliwa akiitwa willia Alipokuwa shule muhuni muhuni akaitwa willy Amepata hela anaitwa bill
Mnyenz said: Kwa hiyo huyo ndio mzee Gates mwenyewe mwenye mtoto wa kuitwa Bill? Click to expand... Huyo alizaliwa akiitwa willia Alipokuwa shule muhuni muhuni akaitwa willy Amepata hela anaitwa bill
M Mchajikobez JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 371 Reaction score 540 Aug 25, 2020 #45 DeepPond said: Jina la Bill lilitoka wapi? Au nae ndo Yale Yale ya Bashite Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... William kikawaida huitwa bill Kama ilivyo robert kuitwa bob Au james kuitwa jimmy Au rahel kuitwa rachel
DeepPond said: Jina la Bill lilitoka wapi? Au nae ndo Yale Yale ya Bashite Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... William kikawaida huitwa bill Kama ilivyo robert kuitwa bob Au james kuitwa jimmy Au rahel kuitwa rachel
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,870 Reaction score 105,186 Aug 26, 2020 #46 NAKWEDE said: Baba yake amepanda vizuri. Atakuwa hata "maumbile" yake ni yale ninayo yapenda. Click to expand... Duh!Yaani umeambiwa utazame luninga weye unaifungua hadi ndani?Weye ni noma!πππ
NAKWEDE said: Baba yake amepanda vizuri. Atakuwa hata "maumbile" yake ni yale ninayo yapenda. Click to expand... Duh!Yaani umeambiwa utazame luninga weye unaifungua hadi ndani?Weye ni noma!πππ