$440,000 ni hela ndogo kwako? Hata kwa familia iliofikwa na janga hio si hela ndogo. Mnaposoma mtu ana utajiri wa $1.5b mnadhani akaunti yake benki inasoma hivyo.....hapana.Haifiki hata dola laki 5[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaakili sana wwukidhamiria kutoa taarifa,huchukui interms of cash wala muamala hautakiwi kusoma kwenye account za benki zatu hapa
mnazama kwenye dark web na mnamalizana kwa njia ya bitcoin baada ya hapo wewe utajua utaigeuzaje kuwa pesa halali kwenye account isiyo kua ya hapa nchini nawaza tu.
nami natoa ofa kama unataarifa ila unahofia usalama wako baada ya hapo nicheki tuone namna gani tutapata hilo dau bila kuacha alama
amekuambia kuipata hiyo 1b ni issue moja na utaishije baada ya kuipata ni another issue. Huenda anaogopa msako usije hamia kwake akapotea akamwacha Demiss bure!Leo nmekushusha hadhi Mkuu,, wewe na ulozi wako wote umeshindwa kujua mahali ambapo MO yupo,, Kweli we bure kabisa ,,ulozi Kumbe hauna faida,,, =