jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,950
- 29,532
Niliwahi kuwasikia wapinzani na wakosoaji wa serikali juu ya serikali kushindwa kukusanya kodi au kuongeza uwigo wa ukusanyaji kodi.
Ni bahati mbaya wakosoaji hawa huwa hawarudi na muendelezo wa stories zao mpaka Mange awaelekeze.
Sasa kwa taarifa yenu na kwa wazalendo wote serikali ya Magufuli imevunja rekodi katika ukusanyaji wa kodi ya ardhi na imefanikiwa kukusanya kiasi kisichopungua bilioni 76...
najua wengi wetu tumeumizwa lakini serikali ni lazima ichukue kilicho halali yake ili kuleta maendeleo yanayotakiwa.
Hongera kwa lukuvi na timu yako.