Bilioni 3 zaipagawisha CHADEMA

Umesoma ukaelewa? Bil 3 tayari, ndio hapo chadema wamepagawa hawajui wafanye lipi waache lipi
CHADEMA hawajapewa Bilioni 3. Gazeti linasema hizo hela ni haki yao na wakipewa wanaweza kufanya kati ya hayo mambo!!
 
Yaani hela za umma zitakuwa hazina ukaguzi. Yaani serikali inatoa hela zitakazoweza kuliwa!!??
Kwani ni mara ngapi chadema pesa zimeliwa? Report ya CAG ilibaini hadi kuna magari yalinunuliwa na kuandikwa majina binafsi badala ya jina la chama
 
sukuma gang wachachawa na mikutano kabambe ya chadema ambayo imevunja record ya wahudhuriaji huku katibu mkuu wa ccm akitelekezwa na mataga hayajui anafanyia wapi hio mikutano ila ya chadema yanaifahamu.
 
Hizl bil 3 wewe umekula ngapi? Isije kuwa wewe ni hoyahoya
 
Kwani ni mara ngapi chadema pesa zimeliwa? Report ya CAG ilibaini hadi kuna magari yalinunuliwa na kuandikwa majina binafsi badala ya jina la chama
Hakuna hela iliyoliwa na ndiyo maana majibu ya dodoso yalitolewa na CAG akaridhika. Acha kughushi mambo.
 
"zaipa" siyo neno linalomaanisha ukamilifu wa tendo. na Gazeti halijaandika "Zimeipa" ambalo ni neno linaloonesha tendo kamilifu!!
Sasa zaipa unaelewa nn? Hivi kweli kabisa umeamua kutokua na akili?
 
sukuma gang mpaka mzae hii miaka iliyobaki baada ya hapo tutawafuta wote sukuma gang maana hata udiwan hamtapata.
Ujanja wenu wote pesa anawapiga mtu mmoja?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbowe master sana
 
Hapa umechanganya mafaili kisa kukimbilia Sukuma Gang!

Tubaongelea pesa ambazo Chadema mmepokea kama Ruzuku mliyokuwa mkisema hamuitaki kutokana na kutoutambua uchaguzi.

Sasa mmeutambua rasmi uchaguzi na pesa mmepokea pia!

Mbowe ni mpiga deal ...
 
Hizl bil 3 wewe umekula ngapi? Isije kuwa wewe ni hoyahoya
ulishawahi kuuliza huko ccm kuwa inapokea ngapi au wewe ndio yale mabwabwa yaliyopo nchi hii aliyotaka kupambana nayo makonda akakatazwa na dikteta kuwa awaache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…