Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Kumbe saula la elimu bure linachukua kiasi kikubwa sana cha pesa.
Gharama za uendeshaji ni kubwa mno.
Hii inaweza kuwa ni chanzo kikubwa cha upotevu wa pesa kwa Raia tunaouona sasa.
Kama serikali inatoa kiasi cha Billion 18.77 kwa kila mwezi kuendesha program ya Elimu bure. Kwa mwaka ni Billion 225.24.
Hii inaigharimu sana serikali ya awamu ya tano.
Kuhamia Dodoma na ununuzi wa ndege.
Kwa pamoja vimeleta mtikisiko mkubwa sana.
Kweli tunakusanya mapato makubwa kwa sasa lakini kwa matumizi haya Makubwa hasa hapa kwenye Elimu bure lazima hali za uchumi wa mtu mmoja mmoja utayumba.
Idadi ya wanafunzi inazidi kuwa kubwa na hivyo gharama kuzidi kuongezeka.
Hakika huu ni mzigo mzito kwa serikali ya awamu ya tano.
Hata hivyo pia bado Elimu yenyewe haikidhi viwango.
Mungu tusaidie Watanzania.