Bilionea wa Urusi aweka dau la Dola Milioni 1 kwa kichwa cha Putin

A Russian businessman has put a $1 million bounty on Vladimir Putin's head​

A Russian investor has put a $1 million bounty on Russian President Vladimir Putin, asking for Russian military officers to arrest Putin as a war criminal.

"I promise to pay $1,000,000 to the officer(s) who, complying with their constitutional duty, arrest(s) Putin as a war criminal under Russian and international laws," said crypto investor and California-based businessman Alex Konanykhin in a Facebook post on Wednesday.

Konanykhin claimed that Putin had violated the Russian constitution by "eliminating free elections" and "murdering his opponents."

"As an ethnic Russian and a Russia citizen, I see it as my moral duty to facilitate the denazification of Russia. I will continue my assistance to Ukraine in its heroic efforts to withstand the onslaught of Putin's Orda," Konanykhin said. using the Russian word for "horde."

Konanykhin told Insider that he had put a bounty — which will come from his funds — to show that the military assault on Ukraine is not being conducted in his name.

"If enough other people make similar statements, it may increase the chances of Putin getting arrested and brought to justice," he added.

Konanykhin said has not visited Russia since 1992. When asked about whether he feared reprisal from Putin, the businessman said: "Putin is known to murder his opponents. He has millions of them now."

According to Vice, Konanykhin was at one point worth $300 million. He is now a member of the "Circle of Money" on the television series "Unicorn Hunters", along with Apple co-founder Steve Wozniak and former 'NSync singer Lance Bass.

Konanykhin was granted political asylum in the US in 1999 but ran the risk of being deported when his status was revoked four years later. His asylum status was reinstated in 2007.

Putin's invasion of Ukraine has prompted a backlash from Russian oligarchs and lawmakers. In a rare moment of dissent, three Russian lawmakers also spoke out this week about Putin's invasion of Ukraine.

Source: A Russian businessman has put a $1 million bounty on Vladimir Putin's head

Huyu anacheza kamari na Wamarekani ili wasimuwekee vikwazo ila ngoja tukimalizana na Zelensky, naye kichwa chake kitasagwa!
 
Wazee wa miujiza mashehe,mitume,manabii ,charismatic na watu wa maombezi nk akina ohh njooni kwetu shida yako itaisha nk tenda hiyo msipige yowe oh sadaka hazitoshi ohh nk pelekeni kichwa cha Putin au yeye akiwa mzima tenda hiyo wametoa dola milioni moja ni matririoni ya pesa za kitanzania kinachotakiwa ni tu kumpeleka Putin au kichwa chake sio porojo tenda hiyo
 
Kweli kabisa leo imekua siku ya kipekee sana, Mungu amtunze mwenyekiti wetu dhidi ya manyangumi yanayomnyemelea, maana huwa anawakosesha raha sana hawa nzi wa kijani
Isaya 65:24
Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu; na wakiwa katika kunena, nitasikia.

Leo nilikuwa nimefunga kumuomba Mungu atende muujiza juu ya MBOWE, maana si muovu na anashutumiwa kwa hila tu.

Mungu amenisikia, MBOWE yu huru, nahitaji kutoa shukrani ya pekeee
 
Hilo dau alilotangaza ndilo ambao wahuni wa Marekani watapewa baada ya kumuingiza kwenye 18 na KGB kumaliza kabisa. Labda asitoke nje ya US.
 
Isaya 65:24
Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu; na wakiwa katika kunena, nitasikia.

Leo nilikuwa nimefunga kumuomba Mungu atende muujiza juu ya MBOWE, maana si muovu na anashutumiwa kwa hila tu.

Mungu amenisikia, MBOWE yu huru, nahitaji kutoa shukrani ya pekeee
LENGO la serikali ya mama limetimia.Mwaka mmoja mahabusu ulitosha kabisa kwa serikalini mpya kujiweka sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isaya 65:24
Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu; na wakiwa katika kunena, nitasikia.

Leo nilikuwa nimefunga kumuomba Mungu atende muujiza juu ya MBOWE, maana si muovu na anashutumiwa kwa hila tu.

Mungu amenisikia, MBOWE yu huru, nahitaji kutoa shukrani ya pekeee
Mbowe sio muovu? Umelaaniwa wewe tayari Biblia inasema wazi amelaaniwa mtu yule asemaye mtu muovu ni mwenye haki

Mbowe huyu aliyetelekeza mkewe wa ndoa na kwenda kuishi na kuzaa na kimada Joyce Mukya ndio unamwita wewe eti sio muovu shetani wewe?
 
Mbowe sio muovu? Umelaaniwa wewe tayari Biblia inasema wazi amelaaniwa mtu yuke asemaye mtu muovu ni mwenye haki

Mbowe huyu aliyetelekeza mkewe wa ndoa na kwenda kuishi na kuzaa na kimada Joyce Mukya ndio unamwita wewe sio.muovu shetani wewe?
Uovu wa MBOWE ni upi? Je mlimkuta na vilipuzi? Je mlimkuta na hivyo vifaa vya kuangushia miti kutoka Dar hadi Mbeya?
Tunaposema CCM ni Chama Cha Mazezeta, msibishe ila nendeni chobingo mkajitathmini
 
Mbowe sio muovu? Umelaaniwa wewe tayari Biblia inasema wazi amelaaniwa mtu yuke asemaye mtu muovu ni mwenye haki

Mbowe huyu aliyetelekeza mkewe wa ndoa na kwenda kuishi na kuzaa na kimada Joyce Mukya ndio unamwita wewe sio.muovu shetani wewe?
Sina laana yoyote. Laana mmelaaniwa nyie madhulumati wa haki za watu wasio na hatia
 
Huyu jamaa kabla mwaka hauijaisha atakufa kifo kibaya sana cha ajabu au atapotea asionekane tena.
Dunia nzima inasanda mbele ya putin lakini kajamaa kamoja kanaleta porojo na maneno ya action movies.
 
Huyu jamaa kabla mwaka hauijaisha atakufa kifo kibaya sana cha ajabu au atapotea asionekane tena.
Dunia nzima inasanda mbele ya putin lakini kajamaa kamoja kanaleta porojo na maneno ya action movies.
Sema wewe na mmeo ndo mnasanda kwa Putin, wala sio dunia
 
Sema wewe na mmeo ndo mnasanda kwa Putin, wala sio dunia
Haya matusi yametokea wapi?
Mimi nimecoment opinion yangu kama hukubaliani nayo basi wewe pita tu sio kuharibiana siku.

Mimi sipo kishabiki hapa, tumeelewana mkuu?
 
Back
Top Bottom