Bilionea wa Urusi aweka dau la Dola Milioni 1 kwa kichwa cha Putin

Haya matusi yametokea wapi?
Mimi nimecoment opinion yangu kama hukubaliani nayo basi wewe pita tu sio kuharibiana siku.

Mimi sipo kishabiki hapa, tumeelewana mkuu?
Tusi liko wapi hapo?! Ni lini dunia imetangaza inasanda kwa Putin?! Afu unasema huna ushabiki wakati we ni shabiki wa Urusi ndo maana pamoja na nchi mbalimbali kumcharaza vikwazo Urusi bila uoga ila wewe unasema dunia inasanda
 
bilionea nimemwelewa kwelikweli anakuja kuichukua urusi kazungumzia ukweli ambao warusi wanataka
 

A Russian businessman has put a $1 million bounty on Vladimir Putin's head​


A Russian investor has put a $1 million bounty on Russian President Vladimir Putin, asking for Russian military officers to arrest Putin as a war criminal.

"I promise to pay $1,000,000 to the officer(s) who, complying with their constitutional duty, arrest(s) Putin as a war criminal under Russian and international laws," said crypto investor and California-based businessman Alex Konanykhin in a Facebook post on Wednesday.

Konanykhin claimed that Putin had violated the Russian constitution by "eliminating free elections" and "murdering his opponents."

"As an ethnic Russian and a Russia citizen, I see it as my moral duty to facilitate the denazification of Russia. I will continue my assistance to Ukraine in its heroic efforts to withstand the onslaught of Putin's Orda," Konanykhin said. using the Russian word for "horde."


Konanykhin told Insider that he had put a bounty — which will come from his funds — to show that the military assault on Ukraine is not being conducted in his name.

"If enough other people make similar statements, it may increase the chances of Putin getting arrested and brought to justice," he added.

Konanykhin said has not visited Russia since 1992. When asked about whether he feared reprisal from Putin, the businessman said: "Putin is known to murder his opponents. He has millions of them now."

According to Vice, Konanykhin was at one point worth $300 million. He is now a member of the "Circle of Money" on the television series "Unicorn Hunters", along with Apple co-founder Steve Wozniak and former 'NSync singer Lance Bass.

Konanykhin was granted political asylum in the US in 1999 but ran the risk of being deported when his status was revoked four years later. His asylum status was reinstated in 2007.

Putin's invasion of Ukraine has prompted a backlash from Russian oligarchs and lawmakers. In a rare moment of dissent, three Russian lawmakers also spoke out this week about Putin's invasion of Ukraine.

Source: A Russian businessman has put a $1 million bounty on Vladimir Putin's head
Propaganda za Magharibi
 
Marekani alisema dau kichwa cha Saddam Hussein mjomba wake akaonyesha shimo alipojificha wamarekani wakamlipa na familia yake wakakimbiza marekani kuishi

Putin muda wowote analambwa kichwa
Naona unaendelea kutikisa vikalio vyako kwa kutikisa mbuyu
 
The
Ukishakuwa Mmarekani, ama kwa kuzaliwa au kwa ^bahati mbaya,^ lazima ujiandae kuhusika katika:

1. Kuwatishia vikwazo wale usiokubaliana nao

2. Kuwashurutisha raia na nchi zingine huru zikubaliane na wewe, or else...

3. Kusoma na kueneza propaganda (maganda-taka) kupitia mainstream media--NY Times, CNN, MSNBC, BBC, etc

4. Mikutano kibao za UN Security Councils za kuzilaani nchi hasimu: ^We condemn them in the strongest terms...^ :)

5. Kuwatazama tu wahanga wa vita, bila kuwapa msaada wowote.

#Putin4President! Njoo uchukue Tanzania,
The end of Putin is near!! Is just a matter of time!! Ila kama size ya ubongo wako ni ya punge ya mchanga hutaelewe
iwe jimbo la Urusi
 
Wazee wa miujiza mashehe,mitume,manabii ,charismatic na watu wa maombezi nk akina ohh njooni kwetu shida yako itaisha nk tenda hiyo msipige yowe oh sadaka hazitoshi ohh nk pelekeni kichwa cha Putin au yeye akiwa mzima tenda hiyo wametoa dola milioni moja ni matririoni ya pesa za kitanzania kinachotakiwa ni tu kumpeleka Putin au kichwa chake sio porojo tenda hiyo


Bil 2.3
 
Back
Top Bottom