Bilionea wa ANTI-VIRUS ya McAfee akutwa amekufa ktk gereza la Hispania

Hahahaaa, hebu niulize kitu hivi na Window OS nazo huwa zinalipiwa.
 
Hana jina? Au McAfee ndio jina lake?

Btw Apumzike anapostahili
 
Hahahaaa, hebu niulize kitu hivi na Window OS nazo huwa zinalipiwa.
ndio zinalipiwa ,,,,sababu zina licence inaexpire kila mwaka ,,,huwa inahitaji kurenew,,,,tatizo watu wengi wamezoea kutumia njia za panya (cracked)
 
ndio zinalipiwa ,,,,sababu zina licence inaexpire kila mwaka ,,,huwa inahitaji kurenew,,,,tatizo watu wengi wamezoea kutumia njia za panya (cracked)
Watu wamezoea piracy, ukimwambia anunue proggie au OS kama hivyo anakushangaa sana. Naingia thebiratebay nachukua ninachotaka kwa cost ya 5,000(bundle), then maisha yanaendelea. Ila huo nao ni wizi kama wizi mwingine...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom