Bilionea Saniniu Laizer ashindwa kumzika mlinzi wake, vilio vyatawala

Licha ya marehemu Manase William kuwa mlinzi wa bilionea Laizer, lakini Mwajiri wake huyo ameshindwa kuhudhuria mazishi hayo au kutuma mwakilishi yaliyofanyika Leo nyumbani kwake ilikiding'a wilayani Arumeru na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa watu.

Mlinzi huyo amezikwa na mamia ya wakazi wa eneo hilo na viunga vyake huku vilio vya kulaani tukio la kinyama la kuuawa kwake vikitawala eneo la msiba.

Picha ya Marehemu Manase na waombolezaji, na picha ya bilionea Laizer kabla ya mazishi hayo alifanya maombi ya kushika udongo mahala alipouawa marehemu.

View attachment 1595804View attachment 1595809View attachment 1595810
Ila huyu bilionea wa ajabu sana, mimi nisingekubali kuishi maisha duni hivyo, no way!
 
Naishi maisha ya starehe sana kwakuwa sina stress za kuweka mashaka kwenye vitu vipya..kikubwa najifunza na kufaidika n mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sahv una stress sana baada ya ndumba zako kufeli.......ukapotea kabisa jukwaani au ndo na i.d umebadili ,,.....shetani ana akili fupi sana na akafanikiwa kukuingiza cha kike
 
Back
Top Bottom