madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,453
- 2,849
Uongo iran kawekewa vikwazo miaka mingap Korea kazkazin je kwa taarifa yako vikwazo akiviweka kwa saud Arabia havita kua na athar yoyote- Hii ni baada ya kupotea katika hali isiyoyakikawaida kwa Muandishi wa Gazeti la Kimarekani Washinton Post na Mkosoaji wa Saudi Arabia Jamal Khashoggi.
- Utata wa kupotea kwake bado haijajulikana japo marekani inawatupia lawama Serikali ya Saudia.
-Pia marekani inafikilia kuweka vikwazo ikiwa itathibitika Saudia imehusika.
My Take.
Kwa dunia hii, cheza na vyote ila sio Raia wa US, unaweza kujikuta unanunua kitunguu sokoni kwa shilingi billioni moja wakiamua kukubinya kiuchumi ukiingia anga zao. Inanikumbusha na Movie inaitwa Tears of the Sun, Kikosi cha makomandoo kilichotumwa eneo la hatari kabisa huko West Afrika Kumuokoa Dada wa kimarekani katikati ya Msitu uliojaa waasi mamia na makatili kupita kiasi.
Chanzo.
New York Post