Sijawahi kulilima kwa biashara lakini kwa matumizi ya nyumbani, ambayo inazaa sana aisee hii mbegu haifati uzazi wa mpango inazaa sana inaitwa Kiboko F1, kuhusu masomo sijajua ila wnaofahamu faida ya bilinganya watazishambulia, kingine jiandae na konokono wanakula sana majani na tunda lenyewehabari za majukumu wnajamvi.
ningependa nijue kuhusu kilimo cha bilinganya kuhusu masoko na kwa mkoa wa mbeya zinakubali?
habari za majukumu wnajamvi.
ningependa nijue kuhusu kilimo cha bilinganya kuhusu masoko na kwa mkoa wa mbeya zinakubali?