Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,571
- 4,820
Kila nayemuuliza anakumbia bili ya maji ya mwezi January inayotumwa mwezi huu imekuwa kubwa kupita maelezo.
Binafsi nyumba nayolipa bili unit 12 bili mwezi huu imekuja unit 125.
Nadhani kuna matatizo ya mfumo au watu hawamuogopi Rais huko Dawasa. Enzi ya Magufuli hakuna ambaye anaweza kuchezea mfumo wa bili za maji maana walikuwa wanajua kitakachowapata.
Jirani mmoja nyumba haijaisha na hana ujenzi analipaga unit 3 kaletewa bili unit 20.
Dawasa tunaomba maelezo ya kina na tuombwe radhi kwa matatizo ya mfumo au ndio mnakusanya bila mantiki