Award Verification Number hii ilikua inatolewa mwanzo kabisa labla hujafanya application ya chuo. Lazima ufanye verification ya vyeti vyako then ndio uanze application..
Sasa kama hukupata hiyo AVN maana yake hata chuo hukufanya application. Yani ni kama key kuweza kuingia kufanya application
Ni kweli ulivyosema hata mimi nimeshindwa mwaka huu na navyoona ni tatizo kwa watu wengi sana sababu graduates wengi hawapo kwenye system ya nacte wao wanakwambia uwasiliane na chuo ulichosoma watume taarifa zako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.