Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 26,227
- 71,892
Endelea kuvumilia tu mama anguAisee wanaume tunawavumilia sana. Mfano unaweza kuvumiliya hali ya upweke kisa tu utunze heshima kwa mpz wako. Utapata vishawishi ila tu unavumilia. Na tabia nyingine nyingi.
Mungu nastahili kulipwa kwa uvumilivu niliyonao mpaka mashoga zangu wananiona eti najitesa ila roho inaniambia one day nitalipwa maana mmmh.
Sent using Jamii Forums mobile app