Bila ukuta tusingemjua Laizer- Rais Magufuli

Bila ukuta tusingemjua Laizer- Rais Magufuli

mkiluvya

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2019
Posts
815
Reaction score
733
1593441504481.png

"Tulipojenga ukuta Mirerani walitubeza, tumeshuhudia Laizer akipata jiwe kubwa na kuwa Bilionea, najiuliza huu ukuta ungejengwa tangu mwaka 1961 ingekuwaje?, najiuliza bila ukuta hilo jiwe kubwa tungeambiwa limepatikana? pengine hata Laizer angeuawa" JPM
 
naked truth! pongez nyingi kwa rais huyu (Magufuli)
 
Mbn watu walijua kitambo Sema watu wengi Hawana idea na mambo ya mererani

Ova
 
Hoi chai. Havina uhusiano wowote 🤣🤣🤣
 
Kuna jamaa alikuwa anamchumbia binti wa Laizar, wazazi wa jamaa walikataa asioe umasaini, baada ya jiwe kupatikana wazazi wanabadili kauli ila binti keshachukuliwa
 
Jamani tuacheni kusifia sifia kila kitu. If that's the case then.... tuanze kujenga kuta ktk sehemu zote zenye madini, mbuga za wanyama na nyingine zote zenye uwepo wa rasilimali zenye thamani kubwa.

Kama watu wenye uelewa wa uwekezaji wa miradi mikubwa, hivi ktk suala la ujenzi wa huo ukuta tumeshazingatia vitu muhimu kama "pay back period & internal rate of return" ya uwepo wake. Tusiache wanasiasa peke yao kumiliki "course of action" na kujisifu ama kusifia kila kitu bila hata ya uwepo wa hoja za kitaalamu ktk kuhalalisha jambo hilo.
 
Bila de Souza hiyo tz isingejulukana basi

Ova
 
Ukuta imeleta Tanzanite ambayo haijawahi kuuzwa kwenye soko rasmi

Mwaka 1995 mchimbaji mmoja aliyekuwa akifahamika kwa jina la Askofu, alipata madini ya shilingi 4b+. Hiyo ni miaka 25 sasa, na hakukuwa na ukuta enzi hizo. Sikatai umuhimu wa ukuta, ila hizi sifa ni kiki za kisiasa kuliko uhalisia wenyewe.
 
Back
Top Bottom