Sio UKAWA tuu, pia wawe na mtu anae kubalika.Nimejaribu kufatilia mdahalo kuhusu uchaguzi wa jimbo la Kinondoni kitu nilichogundua kama upinzani waliweza kushinda Kata 8 na CCM kata mbili lakini pia kama uchaguzi mkuu upinzani wana mtaji wa kura elfu 75 na 64.
Ni dhahiri CCM itaanguka uchaguzi huu katika mtaji wa kura elfu 75 hapo kuna za CUF, CHADEMA kwa pamoja walivyoungana na kushinda jimbo.
Baada ya kuzungumza haya turudi katika UKAWA ambapo kuna mpasuko mkubwa kati ya wafuasi wa upinzani wanaoiunga mkono kupitia Mbowe na wafuasi wa upinzani wanamuunga mkono.
Lipumba CHADEMA upande wa Mbowe wanaona bora abaki CHADEMA
kwa sababu hawana imani na Lipumba na CUF wanaomuunga mkono Lipumba.
Hadi sasa kitendawili kuhusu ni nani atayesimama kupambana CCM kama CHADEMA au CUF kupitia Jimbo la Kinondoni.
Hakika huu ni mtihani mkubwa sana kupata majibu lakini kwa maoni yangu CUF either iwe ya Lipumba wawachie jimbo wapambane wenyewe, CHADEMA
wajitoe tuu kwa sababu CUF anajaribu kurudisha Jimbo la Kinondoni.
Mtatiro muacheni hukohuko mitandaoni facebook na twitter hatapaweza Kinondoni kama vile vidada tuu pale segerea vilimpa adhabu kamili 2015 unafikiri Kinondoni ndo atapaweza??kwanza huko kinondoni hakubaliki.....na mkae mkijua Lipumba katu hatokubali Mtatiro asimame Kinondoni, nadhani wote tunajua kwanini...Sio UKAWA tuu, pia wawe na mtu anae kubalika.
Na kwa hapo Dar mtu makini mwenye siasa za kistaarabu namuona Julius Mtatiro. Huyu ni material ataweza kupambana na Ccm kama akipewa nafasi ya kupeperusha bendera ya UKAWA
Segerea ni kosa la kiufundi lilifanyika .. Na lilikuwa organised na tume ya uchaguzi. Mgombea wa CHADEMA alijitoa Tume ikakataa kumuondoa. Kura zikagawanyika kwa CUF na CHADEMA jumlisha kura za chadema Segerea 2015 na CUF uone Ccm iligogwa kiasi gani. Ndio maana nimezungumzia UKAWA na sio CUFMtatiro muacheni hukohuko mitandaoni facebook na twitter hatapaweza Kinondoni kama vile vidada tuu pale segerea vilimpa adhabu kamili 2015 unafikiri Kinondoni ndo atapaweza??kwanza huko kinondoni hakubaliki.....na mkae mkijua Lipumba katu hatokubali Mtatiro asimame Kinondoni, nadhani wote tunajua kwanini...
hapo ndipo kwenye tatizo sasa Mtatiro atapitishwa na nani ?Laprofesa hawezi hilo jimbo upinzani usipoteze mdaSio UKAWA tuu, pia wawe na mtu anae kubalika.
Na kwa hapo Dar mtu makini mwenye siasa za kistaarabu namuona Julius Mtatiro. Huyu ni material ataweza kupambana na Ccm kama akipewa nafasi ya kupeperusha bendera ya UKAWA
na kwambia hivi halikuwa kosa la kiufundi wala nini na tume wala haikuhusika,ni wao wenyewe CHADEMA walipanga iwe hivo na ikawa,huo ni mfano mmoja kati ya mingi ambayo CHADEMA ilivuruga majimbo mengi yaliyotakiwa yagombewe na CUF..mfano mwingine nakupa uchaguzi mdogo wa juzi mtwara,CUF ilipata kura 1400+ wakati CCM 1700+ walihitaji kura 300 tuu walichukue jimbo lakini kura hizo ndizo walipata CHADEMA ambapo walitakiwa wasisimamishe mtu lakini wao wakasimamisha.Segerea ni kosa la kiufundi lilifanyika .. Na lilikuwa organised na tume ya uchaguzi. Mgombea wa CHADEMA alijitoa Tume ikakataa kumuondoa. Kura zikagawanyika kwa CUF na CHADEMA jumlisha kura za chadema Segerea 2015 na CUF uone Ccm iligogwa kiasi gani. Ndio maana nimezungumzia UKAWA na sio CUF
Ni kweli kabisa yuko vuzuriSio UKAWA tuu, pia wawe na mtu anae kubalika.
Na kwa hapo Dar mtu makini mwenye siasa za kistaarabu namuona Julius Mtatiro. Huyu ni material ataweza kupambana na Ccm kama akipewa nafasi ya kupeperusha bendera ya UKAWA
Atahamia CDM, ila nadhani muda umefika wa upinzani kudai katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Na huo ndio uwe wa kwanza kuususia.Mtatiro muacheni hukohuko mitandaoni facebook na twitter hatapaweza Kinondoni kama vile vidada tuu pale segerea vilimpa adhabu kamili 2015 unafikiri Kinondoni ndo atapaweza??kwanza huko kinondoni hakubaliki.....na mkae mkijua Lipumba katu hatokubali Mtatiro asimame Kinondoni, nadhani wote tunajua kwanini...
Umeandika ujinga tu, hatutakaa kamwe kuungana na Lipumba. CDM wasishiriki uchaguzi huu, ni batili kabisa nawaambia.na kwambia hivi halikuwa kosa la kiufundi wala nini na tume wala haikuhusika,ni wao wenyewe CHADEMA walipanga iwe hivo na ikawa,huo ni mfano mmoja kati ya mingi ambayo CHADEMA ilivuruga majimbo mengi yaliyotakiwa yagombewe na CUF..mfano mwingine nakupa uchaguzi mdogo wa juzi mtwara,CUF ilipata kura 1400+ wakati CCM 1700+ walihitaji kura 300 tuu walichukue jimbo lakini kura hizo ndizo walipata CHADEMA ambapo walitakiwa wasisimamishe mtu lakini wao wakasimamisha.
UKAWA inatumiwa na upande mmoja ambao ni CHADEMA kujinufaisha,wakati wengine wanaunga tela tuu.
hapo ndipo kwenye tatizo sasa Mtatiro atapitishwa na nani ?Laprofesa hawezi hilo jimbo upinzani usipoteze mda
sisiemu wanashinda asubuhi
nani alikwambia wale madiwani waliogombea kule mtwara kwenye chaguzi ndogo walikuwa ni upande wa Lipumba??rudi kasome post aliyoitoa Mtatiro baada ya uchaguzi ndipo utajua mbivu na mbichi...mmevurugiana timing wenyewe kwa wenyewe....period.Umeandika ujinga tu, hatutakaa kamwe kuungana na Lipumba. CDM wasishiriki uchaguzi huu, ni batili kabisa nawaambia.
Ndio maana nasema kabla ya uoinzani kuamua kuingia kwenye huu uchaguzi wahakikishiwe hayata tokea yaliyo tokea kwenye uchaguzi wa udiwani. Maana haukuwa uchaguzi bali ilikuwa system kuipandikiza Ccm kwa nguvuAtahamia CDM, ila nadhani muda umefika wa upinzani kudai katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Na huo ndio uwe wa kwanza kuususia.
Wewe ndio hujui, ulizia kabla kuposti chochote. Uishamuona Seif kwenye kampeni? Kama msajili anamtambua Lipumba hata NEC pia.nani alikwambia wale madiwani waliogombea kule mtwara kwenye chaguzi ndogo walikuwa ni upande wa Lipumba??rudi kasome post aliyoitoa Mtatiro baada ya uchaguzi ndipo utajua mbivu na mbichi...mmevurugiana timing wenyewe kwa wenyewe....period.
kwahiyo mtatiro alidanganya kuwa wale madiwani walikua upande wao yaani upande wa Maalim Seif??kwani Lipumba alikuwepo kwenye Kampeni??Wewe ndio hujui, ulizia kabla kuposti chochote. Uishamuona Seif kwenye kampeni? Kama msajili anamtambua Lipumba hata NEC pia.
Katiba Mpya haiongezi binadamu au kura ww.. ngu...ro!!!Atahamia CDM, ila nadhani muda umefika wa upinzani kudai katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Na huo ndio uwe wa kwanza kuususia.
Alidanganya sana, wote wa upande wao waliondolewa na NEC. Ila alitaka tu ungefanyika uungwana wa kuiachia CUF ili mambo yaende. Sasa haikuwa lahisi sana, kwa kuwa hujuma anazofanya Lipumba na watu wake zimefika mbali sana. Nia yao nikuifuta CUF kabisa ila wafurahi. Ukisikia maneno aliyoongea Sakaya alisema anafikiria kustaafu siasa 2020, sio kweli ashaona mambo waliyoyafanya hayawaweki tena mbele ya watu. Sasa aibu imewafika acha wafe kabisa, historia itawahukumu.kwahiyo mtatiro alidanganya kuwa wale madiwani walikua upande wao yaani upande wa Maalim Seif??kwani Lipumba alikuwepo kwenye Kampeni??