Bila UKAWA jimbo la Kinondoni upinzani hamuwezi kushinda kiti cha ubunge

MSELA WA MANZESE

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,606
2,000
Nimejaribu kufatilia mdahalo kuhusu uchaguzi wa jimbo la Kinondoni kitu nilichogundua kama upinzani waliweza kushinda Kata 8 na CCM kata mbili lakini pia kama uchaguzi mkuu upinzani wana mtaji wa kura elfu 75 na 64.

Ni dhahiri CCM itaanguka uchaguzi huu katika mtaji wa kura elfu 75 hapo kuna za CUF, CHADEMA kwa pamoja walivyoungana na kushinda jimbo.

Baada ya kuzungumza haya turudi katika UKAWA ambapo kuna mpasuko mkubwa kati ya wafuasi wa upinzani wanaoiunga mkono kupitia Mbowe na wafuasi wa upinzani wanamuunga mkono.

Lipumba CHADEMA upande wa Mbowe wanaona bora abaki CHADEMA
kwa sababu hawana imani na Lipumba na CUF wanaomuunga mkono Lipumba.

Hadi sasa kitendawili kuhusu ni nani atayesimama kupambana CCM kama CHADEMA au CUF kupitia Jimbo la Kinondoni.

Hakika huu ni mtihani mkubwa sana kupata majibu lakini kwa maoni yangu CUF either iwe ya Lipumba wawachie jimbo wapambane wenyewe, CHADEMA
wajitoe tuu kwa sababu CUF anajaribu kurudisha Jimbo la Kinondoni.
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
6,391

Sio UKAWA tuu, pia wawe na mtu anae kubalika.
Na kwa hapo Dar mtu makini mwenye siasa za kistaarabu namuona Julius Mtatiro. Huyu ni material ataweza kupambana na Ccm kama akipewa nafasi ya kupeperusha bendera ya UKAWA
 
Tony antony

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
4,987

Mtatiro muacheni hukohuko mitandaoni facebook na twitter hatapaweza Kinondoni kama vile vidada tuu pale segerea vilimpa adhabu kamili 2015 unafikiri Kinondoni ndo atapaweza??kwanza huko kinondoni hakubaliki.....na mkae mkijua Lipumba katu hatokubali Mtatiro asimame Kinondoni, nadhani wote tunajua kwanini...
 
Segerea ni kosa la kiufundi lilifanyika .. Na lilikuwa organised na tume ya uchaguzi. Mgombea wa CHADEMA alijitoa Tume ikakataa kumuondoa. Kura zikagawanyika kwa CUF na CHADEMA jumlisha kura za chadema Segerea 2015 na CUF uone Ccm iligogwa kiasi gani. Ndio maana nimezungumzia UKAWA na sio CUF
 
KING 360

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
3,014
2,000
Sio UKAWA tuu, pia wawe na mtu anae kubalika.
Na kwa hapo Dar mtu makini mwenye siasa za kistaarabu namuona Julius Mtatiro. Huyu ni material ataweza kupambana na Ccm kama akipewa nafasi ya kupeperusha bendera ya UKAWA
hapo ndipo kwenye tatizo sasa Mtatiro atapitishwa na nani ?Laprofesa hawezi hilo jimbo upinzani usipoteze mda
sisiemu wanashinda asubuhi
 
na kwambia hivi halikuwa kosa la kiufundi wala nini na tume wala haikuhusika,ni wao wenyewe CHADEMA walipanga iwe hivo na ikawa,huo ni mfano mmoja kati ya mingi ambayo CHADEMA ilivuruga majimbo mengi yaliyotakiwa yagombewe na CUF..mfano mwingine nakupa uchaguzi mdogo wa juzi mtwara,CUF ilipata kura 1400+ wakati CCM 1700+ walihitaji kura 300 tuu walichukue jimbo lakini kura hizo ndizo walipata CHADEMA ambapo walitakiwa wasisimamishe mtu lakini wao wakasimamisha.

UKAWA inatumiwa na upande mmoja ambao ni CHADEMA kujinufaisha,wakati wengine wanaunga tela tuu.
 
Mkwaruu

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
2,942
2,000
Sio UKAWA tuu, pia wawe na mtu anae kubalika.
Na kwa hapo Dar mtu makini mwenye siasa za kistaarabu namuona Julius Mtatiro. Huyu ni material ataweza kupambana na Ccm kama akipewa nafasi ya kupeperusha bendera ya UKAWA
Ni kweli kabisa yuko vuzuri
 
Gullam

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
5,247
2,000
Mtatiro muacheni hukohuko mitandaoni facebook na twitter hatapaweza Kinondoni kama vile vidada tuu pale segerea vilimpa adhabu kamili 2015 unafikiri Kinondoni ndo atapaweza??kwanza huko kinondoni hakubaliki.....na mkae mkijua Lipumba katu hatokubali Mtatiro asimame Kinondoni, nadhani wote tunajua kwanini...
Atahamia CDM, ila nadhani muda umefika wa upinzani kudai katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Na huo ndio uwe wa kwanza kuususia.
 
Gullam

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
5,247
2,000
na kwambia hivi halikuwa kosa la kiufundi wala nini na tume wala haikuhusika,ni wao wenyewe CHADEMA walipanga iwe hivo na ikawa,huo ni mfano mmoja kati ya mingi ambayo CHADEMA ilivuruga majimbo mengi yaliyotakiwa yagombewe na CUF..mfano mwingine nakupa uchaguzi mdogo wa juzi mtwara,CUF ilipata kura 1400+ wakati CCM 1700+ walihitaji kura 300 tuu walichukue jimbo lakini kura hizo ndizo walipata CHADEMA ambapo walitakiwa wasisimamishe mtu lakini wao wakasimamisha.

UKAWA inatumiwa na upande mmoja ambao ni CHADEMA kujinufaisha,wakati wengine wanaunga tela tuu.
Umeandika ujinga tu, hatutakaa kamwe kuungana na Lipumba. CDM wasishiriki uchaguzi huu, ni batili kabisa nawaambia.
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,347
2,000
hapo ndipo kwenye tatizo sasa Mtatiro atapitishwa na nani ?Laprofesa hawezi hilo jimbo upinzani usipoteze mda
sisiemu wanashinda asubuhi

Tatizo lipo kwa Mtatiro
Lipumba akianza kutoa form za kuwania Ubunge aende Buguruni kuchukua sio kwenda Unguja kwa Seif aende Buguruni kwa Prof Nguli wa Uchumi Ulimwenguni
 
Tony antony

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
4,987
2,000
Umeandika ujinga tu, hatutakaa kamwe kuungana na Lipumba. CDM wasishiriki uchaguzi huu, ni batili kabisa nawaambia.
nani alikwambia wale madiwani waliogombea kule mtwara kwenye chaguzi ndogo walikuwa ni upande wa Lipumba??rudi kasome post aliyoitoa Mtatiro baada ya uchaguzi ndipo utajua mbivu na mbichi...mmevurugiana timing wenyewe kwa wenyewe....period.
 
LESIRIAMU

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
6,391
2,000
Atahamia CDM, ila nadhani muda umefika wa upinzani kudai katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Na huo ndio uwe wa kwanza kuususia.
Ndio maana nasema kabla ya uoinzani kuamua kuingia kwenye huu uchaguzi wahakikishiwe hayata tokea yaliyo tokea kwenye uchaguzi wa udiwani. Maana haukuwa uchaguzi bali ilikuwa system kuipandikiza Ccm kwa nguvu
 
Gullam

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
5,247
2,000
nani alikwambia wale madiwani waliogombea kule mtwara kwenye chaguzi ndogo walikuwa ni upande wa Lipumba??rudi kasome post aliyoitoa Mtatiro baada ya uchaguzi ndipo utajua mbivu na mbichi...mmevurugiana timing wenyewe kwa wenyewe....period.
Wewe ndio hujui, ulizia kabla kuposti chochote. Uishamuona Seif kwenye kampeni? Kama msajili anamtambua Lipumba hata NEC pia.
 
Tony antony

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
4,987
2,000
Wewe ndio hujui, ulizia kabla kuposti chochote. Uishamuona Seif kwenye kampeni? Kama msajili anamtambua Lipumba hata NEC pia.
kwahiyo mtatiro alidanganya kuwa wale madiwani walikua upande wao yaani upande wa Maalim Seif??kwani Lipumba alikuwepo kwenye Kampeni??
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
12,405
2,000
Hata kma CUF ya lipumba isiposhiriki hilo jimbo linarudi ccm tena kwa 90%...... Sio kwa sababu huyo mtulia ni maarufu sana ila mfumo wa uchaguzi na utawala huu ulivyo haiwezekani mpinzani kutangazwa mshindi

Ntamuona mbowe mnafki na msaliti kma ataweka mgombea
 
Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,700
1,225
Atahamia CDM, ila nadhani muda umefika wa upinzani kudai katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Na huo ndio uwe wa kwanza kuususia.
Katiba Mpya haiongezi binadamu au kura ww.. ngu...ro!!!
 
Gullam

JF-Expert Member
Dec 1, 2013
5,247
2,000
kwahiyo mtatiro alidanganya kuwa wale madiwani walikua upande wao yaani upande wa Maalim Seif??kwani Lipumba alikuwepo kwenye Kampeni??
Alidanganya sana, wote wa upande wao waliondolewa na NEC. Ila alitaka tu ungefanyika uungwana wa kuiachia CUF ili mambo yaende. Sasa haikuwa lahisi sana, kwa kuwa hujuma anazofanya Lipumba na watu wake zimefika mbali sana. Nia yao nikuifuta CUF kabisa ila wafurahi. Ukisikia maneno aliyoongea Sakaya alisema anafikiria kustaafu siasa 2020, sio kweli ashaona mambo waliyoyafanya hayawaweki tena mbele ya watu. Sasa aibu imewafika acha wafe kabisa, historia itawahukumu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom