Bila pesa wanawake watakuchoka

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Kuna mwanamke mmoja hivi X wangu ambaye nilikuwa napambana sana arudi, na kwa bahati nzuri nilifanikiwa kumrudisha. Kumbe alikuwa anarudi kwa faida zake mwenyewe!

Yaani tulikuwa bado tuna wiki mbili tu toka turudiane, akaniambia babe nina tatizo naomba unikopee pesa kwa ndugu yako fulani hivi, eti atarudisha mwezi wa kumi 12. Nikaamuliza ngapi? Eti milioni 2, si kushangaa maana yeye ni mfanya biashara na ana uwezo wa kurudisha pesa hizo.

Ila kilichonipa ugumu ni kuwa, mimi ni sina chochote na ndugu yangu huyo hawezi kunikopa pesa kwasababu anajua sina shughuli yeyote mjini hapa, na pia nikafikiria, Tanzania hii unaweza kwenda kumkopea mtu mwisho wa mwezi akakugeuka.

Nikamwambia babe siwezi kabisa na sidhani kama ndugu yangu anaweza kunikopesha pesa hizo. Bora uende mwenyewe, maana anakujua wewe ni mfanya biashara, hawezi kukunyima akiwa nazo.

Alichokuja kuniambia, eti pumbavu tafuta pesa, nilitaka nikuingize matatizo ili uache upumbavu! Wenzako wanatafuta pesa, kazi yako ni kubeti Jumatatu hadi Jumapili!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ah dah pole mkuu na hongera kwa kuruka mtego
 
Yan ungempa hiyo 2M ndio ilikuwa pension yake alovuna wakati wa husiano lenu. baadae angekuacha mapema sana
 
Tafuta starehe nyingine mbali na mapenzi utafurahi mkuu. Mwanamke unampa pesa yeye anakuletea HIV au UTI sugu. Alafu unaweza kumpa pesa na bado penzi likawa kwa mwingine.

Apart from romance I love Spanish soccer league ndio maana sina stress na binti wa mtu hata akikaa wiki bila kunitafuta kwangu mimi sawa tu.
 
Pia wanawake wengi sana ni matapeli siku hizi kwa gear ya mapenzi. Kuwa makini nao sana ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…