mfufua uzi
Member
- May 11, 2025
- 31
- 50
Haya ni maisha ambayo wengi wetu nafikiri tulipitia kwa mama zetu enzi za utoto wetu
Mama yako alikuwa gaidi sana!..😅Haya ni maisha ambayo weng wetu nafikiri tulipitia kwa mama zetu enzi za utoto wetu
Poleni sana...
Wee ulikuwa unakula bila kuoga love???? Sema kweliiii😊Poleni sana...
Sijawahi kua na vikwazo katika makuzi yangu...Wee ulikuwa unakula bila kuoga love???? Sema kweliiii😊
Umetishaa love 😘😘Sijawahi kua na vikwazo katika makuzi yangu...
Kula lazima kuoga hiari...
Tumbo kwanza mwili baadae utaogeshwaSijawahi kua na vikwazo katika makuzi yangu...
Kula lazima kuoga hiari...