Bila Kumgusa Rais au Marais Wastaafu, Ni Kiongozi Gani Unadhani Ni Ovyo!

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,810
Bila Kugusa, Kumjadili Rais au Marais Wastaafu, (Its Just a Rule for this Topic plse Iheshimu) Kwa Wengineo wote, Taja Kiongozi ambaye Unadhani Ni Ovyo na Hasara na Aibu kwa Taifa Letu Toa sababu Tatu zenye Ushahidi Kwanini Unamtuhumu hivyo.
 
Wakuu!! kabla ya lolote.. Sisi tujithamani, kiwango chetu kwanza na tujitambue wenyewe....
sembuse kuwajadili VIONGOZI waliopita!!

Farasi kwa farasi
Simba kwa simba
Tembo kwa tembo
Nzi kwa nzi...........

jibu mnalo wenyewe...!!
 
ingawa wewe umeiweka kama rule ila mie ninatofautiana na wewe
naomba nimtaje the kiranja mkuu wa shule hii ya jamhuri
 
Bila Kugusa, Kumjadili Rais au Marais Wastaafu, (Its Just a Rule for this Topic plse Iheshimu) Kwa Wengineo wote, Taja Kiongozi ambaye Unadhani Ni Ovyo na Hasara na Aibu kwa Taifa Letu Toa sababu Tatu zenye Ushahidi Kwanini Unamtuhumu hivyo.
Viongozi wote wa CHADEMA
1.Walituaminisha kuwa Lowasa fisadi baadaye wakageuka
2.Walimpa ugombea uraisi mtu ambaye hana hata wiki toka ajiunge na Chama ambaye hana uzoefu wa chama wakawaacha watu wao wazoefu
3.Wamempa ukatibu mkuu mtu ambaye ana uzoefu wa mwaka mmoja tu ndani ya chama na kutelekeza wenye uzoefu
 
ingawa wewe umeiweka kama rule ila mie ninatofautiana na wewe
naomba nimtaje the kiranja mkuu wa shule hii ya jamhuri
Najua una uhuru lakini Nikuombe tu ufute hiyo! Nakuomba tu Kwani Nina lengo La huyo Kiongozi ajue Wananchi wanavyo wazia wasaidizi wake. Plse futa
 
sina mana kwamba kiranja mkuu wa shule ya jamhuri ndo mbovu la hasha
ila watendaj wake na hasa wale wanaofanya naye kazi kwa karibu
mfano mzuri ni Makonda, mwezi wa 1, hawa watamfikisha pabaya sana
 
Nape kafuta bunge na kafungia chura hawaonekani mtaani wala mtandaoni
 
Bila Kugusa, Kumjadili Rais au Marais Wastaafu, (Its Just a Rule for this Topic plse Iheshimu) Kwa Wengineo wote, Taja Kiongozi ambaye Unadhani Ni Ovyo na Hasara na Aibu kwa Taifa Letu Toa sababu Tatu zenye Ushahidi Kwanini Unamtuhumu hivyo.
Bila kuwagusa hao uliowatenga jibu langu ni "hakuna" kwa sababu maji hufuata mkondo.
 
Bila Kugusa, Kumjadili Rais au Marais Wastaafu, (Its Just a Rule for this Topic plse Iheshimu) Kwa Wengineo wote, Taja Kiongozi ambaye Unadhani Ni Ovyo na Hasara na Aibu kwa Taifa Letu Toa sababu Tatu zenye Ushahidi Kwanini Unamtuhumu hivyo.
Wote walie mpaka mavi kisha kisha wakamuosha wenyewe mzee wa richmond kwa kusema ”hakuwa yeyee”
 
kwangu mm ni Didas Masaburi.

sababu hata ww mwenyew unazijua km unakumbuka kipindi cha kampeni alivyoumbuka vibaya na hila zake
 
Back
Top Bottom