Hivi karibuni limezuka wimbi LA watumishi hewa wanaolipwa mishahara na kuliongezea taifa gharama na hasara.Katika kushughulikia tatizo hilo imeonekana chanzo ni maafisa utumishi kuwa wazembe na kusababisha kero nyingi kwa taifa na hata kwa watumishi wenyewe,matusi,ukali na mengine imekuwa ni tabia ya maafisa utumishi.
Mimi naomba niwe tofauti kidogo na walio wengi,ma afisa utumushi/utawala ndiyo watunza nidhamu na ni waajiri kazi ambayo ni kubwa sana. Mamlaka ya nidhamu kwa watumishi wenzao na walezi hasa wa taasisi zao cha ajabu hakuna kazi isiyo na maslahi kama ua afisa utunishi.
Mshahara wao ni TGS D sawa na 710,000 ukiweka makato wanaambulia 515,000 kwa mwezi, tukumbuke hawa wanaajiri pia watu ambao wanawazidi mishahara na kuandaa safari za wakubwa huku wao wakibaki ofisini.
Mshahara huo kwa afisa utumishi kwanini tusitegemee mishahara hewa na uzembe? Mtazamo wangu naona tungeelekeza jicho kwa maslahi ya maafisa utumishi na ndiyo tuwalaumu kwa uzembe,hata sasa wanajitahidi katika mazingira yao magumu ya kazi.