Bila Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi wapinzani hawatashinda hata jimbo moja 2020

Swala la katiba mpya haliwezi kutatuliwa na misukumo ya ndani tu kuna escapism ya swala hili.Hatuna tena Mwalimu ambaye aliona mbali kuwa nchi ya Tanzania ilitakiwa iwe nchi ya vyama vingi alisema kubaki katika mfumo wa chama kimoja kitabweteka na maendeleo yake yatakuwa stuck up.Kurudi nyuma na siasa zisizokuwa na ushindani tuepukane nazo tusifanane na nchi ya Zimbambwe ambayo mpaka sasa wa struggle kurudi kwenye right truck bado wanashindwa
 
Hapa ndipo tuta pata kipimo cha uzalendo ''Wale ambao hawataki katiba mpya siyo wazalendo''
 
Huu ndio ukweli. Mwaka 2020 kura zitaporwa mchana kweupe. Mkibisha, mnakula virungu, mnatupwa jela bila dhamana. We are in "the right track". Nashangaa kwanini wabunge wapo happy tu na utaratibu huu wa kuwaruhusu wanachama wa CCM kwa kofia ya UDED kuwa ndio wasimamizi wakuu wa Uchaguzi
 

Vyama vya upinzani haviwezi kuleta katiba mpya bila support madhubuti ya wananchi then ndio wapate support ya kimataifa, Maduro kule anaondoka kwa sababu ya wanachi kuchachamaaa.Vivyo hivyo itakuwa Sudan na Algeria. Tanzania tunawaachia vyama vya upinzani as if sisi hituhusu.
 
Kwanza wangekuwa wanaona mbali hata uchaguzi wangesusia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…