Bila jembe hupandi mlima Kilimanjaro

Unalalamikia rushwa tu mbona hulalamikii wale wadada wanaowachuna pindi mkirudi na mihela toka mlimani?

Mwenye nacho huongezewa ujue

Nitawasemea kwa idara ya Huduma kwa jamii
 
Mkuu sio campuni zote GUIDE wanaitaji kamlungula[jembe kwa porters] nimefanya kazi ya utalii kwa miaka kama mitano, kinachotokea baadhi ya guide wanaumimi sana,sana wamarangu samahani lakini,wanapendelea sana wamarangu wezao kuwaweka mbele mbele kwenye vitengo mfano mesi,waiters au tenet crow ni vitengo ambavyo tip yao nikubwa kidogo tofauti na porter hapo ndo jembe linausika. kampuni nilizo fanya kama nature advantere, Good earth tours,kili worries, duma safari hii kitu ya jembe haipo kabisa, porters wako katika ratiba, na portes wanajulikana na wamesajiliwa kwenye chama cha porters. hizi campuni za uchochoroni lazima kamlungula iwepo. ila kuna kitu inaitwa KIRUNJI
 
Mi nlidhani unazungumzia jembe la mpini...kumbe jembe jembe [emoji384] [emoji385] [emoji386] [emoji387]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…