jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,377
- 43,264
Ila uislamu wetu umekaa kijanja janja.Kurwani imetamka wazi waislam wote lazima waende jehanam(hell) kwanza wakapate mateso ndio ama waende peponi au wabaki hapo jehanam kuendelea kula msoto.
Kwa mujibu wa Quran (Surat Maryam) Aya ya 71 hadi 72.
Ndio mana waislamu wanatakiwa wasugue mapaji ya uso ili kutengeneza sigida ili iwasadie kumulika giza la akhera yani sigda ni tochi ukiwa akhera.
Kwani hakuna pepo bila kupita jehanam.
Soma dini yako acha kufuata mkumboIla uislamu wetu umekaa kijanja janja.
Ipo siku ntachukua maamuzi magumu ya kubatizwa tu.
Mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru...Ila uislamu wetu umekaa kijanja janja.
Ipo siku ntachukua maamuzi magumu ya kubatizwa tu.
hata huko unapotaka kwenda kuna watu wametoka hukoIla uislamu wetu umekaa kijanja janja.
Ipo siku ntachukua maamuzi magumu ya kubatizwa tu.
Jagina njoo huku utoe mwongozo mkuuKurwani imetamka wazi waislam wote lazima waende jehanam(hell) kwanza wakapate mateso ndio ama waende peponi au wabaki hapo jehanam kuendelea kula msoto.
Kwa mujibu wa Quran (Surat Maryam) Aya ya 71 hadi 72.
Ndio mana waislamu wanatakiwa wasugue mapaji ya uso ili kutengeneza sigida ili iwasadie kumulika giza la akhera yani sigda ni tochi ukiwa akhera.
Kwani hakuna pepo bila kupita jehanam.
umescroll mtandaoni hii leo, mchana nimeikuta fb kenyaKurwani imetamka wazi waislam wote lazima waende jehanam(hell) kwanza wakapate mateso ndio ama waende peponi au wabaki hapo jehanam kuendelea kula msoto.
Kwa mujibu wa Quran (Surat Maryam) Aya ya 71 hadi 72.
Ndio mana waislamu wanatakiwa wasugue mapaji ya uso ili kutengeneza sigida ili iwasadie kumulika giza la akhera yani sigda ni tochi ukiwa akhera.
Kwani hakuna pepo bila kupita jehanam.
Nimeangalia ulichonukuu neno jahanam sijalionaKurwani imetamka wazi waislam wote lazima waende jehanam(hell) kwanza wakapate mateso ndio ama waende peponi au wabaki hapo jehanam kuendelea kula msoto.
Kwa mujibu wa Quran (Surat Maryam) Aya ya 71 hadi 72.
Ndio mana waislamu wanatakiwa wasugue mapaji ya uso ili kutengeneza sigida ili iwasadie kumulika giza la akhera yani sigda ni tochi ukiwa akhera.
Kwani hakuna pepo bila kupita jehanam.
Mimi nimeshaamua kubatizwa.Soma dini yako acha kufuata mkumbo
AmiiinMtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru...a
Kutoka kwao kunanihusu nini?hata huko unapotaka kwenda kuna watu wametoka huko
Haya batizwa salamaMimi nimeshaamua kubatizwa.
Achana na mimi.
Nawaachia mbaki na majini yenu.
Karibu upande huu. Tuamini Injili.Haya batizwa salama
Injili ipi unayoiamini?Karibu upande huu. Tuamini Injili.
Ya Yesu Kristu ambaye sisi muslims tunamuita Nabii Isaa.Injili ipi unayoiamini?
Yesu Hana injili.Ya Yesu Kristu ambaye sisi muslims tunamuita Nabii Isaa.
ZoteYesu Hana injili.
Zipo injili 4,za waandishi tofauti Kwa maana hyo Kuna vitabu vinne ipi ni injili ya yesu?