Bila connection hupati kazi

𝐩𝐨𝐥𝐞 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐛𝐫𝐨𝐨.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna baadhi ya kazi hazihitaji connection na zipo nyingi tuu ila wajuzi wachache mno au hawapo kabisa... Muhimu shule iwe ya kutosha kichwani na jitahidi mwanao asisomee ajira za halaiki
𝐊𝐚𝐦𝐚 𝐳𝐢𝐩𝐢 𝐡𝐢𝐳𝐨 𝐦𝐤𝐮𝐮 𝐮𝐧𝐚𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐞𝐥𝐞𝐳𝐞𝐚 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐡𝐢?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nacheka mkuu sio kama mazuri ila tu ni swala lilivyokaa kihuni. Yani wanakuletea watu uwafundishe kazi kisha walipoweza wewe ukatimuliwa 😂😂😂
 
Mi nilitake risk ya kuhonga laki 3 yaani 300000 nupate kazi yapi merkezi ela ikaungua kazi sikupata na ndo pesa pekee nilikua nayo aloo sitokaa nisahau Ule msoto morogoro ilikua kidogo niwe maarufu kwa kumpiga mtu tukio kali.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hela ina create strong connections kama pia una good character 🙂🙂.. Maana unaweza kuwa na hela alafu una bad character
Hela ikiwepo kazi unatafuta ya nini sasa? Watu wanatafuta kazi ili wapate kukutana na hizo hela.😂😂😂! Ukiwa kazini ni rahisi kukutana na watu wenye impact kwenye maisha yako tofauti na ukiwa jobless.
 
Mdogo wangu anasota tangu 2018 hadi leo yaani. Namuonea huruma bora angesoma ualimu. Ila ualimu nao siku hizi sio deal tena.
Natamani kuandika vingi lakini sijui nianzaje, anyway kuna connection na bahati ya mtu pia, alhamdullilah nilimaliza chuo mwaka Jana mwezi 8, kufika mwezi wa 10 nikaajiriwa na gavoooo.
 
pole,na ndio Kila mahali ni mapishi tu
 
Ingawa umeileta kwa kugusa juujuu Ila naamini hii ni true story.
Kuna jamaa alikuwa anajitolea kwenye taasisi miaka mitatu, anajua kazi mpaka basi. Ila taasisi hiyohiyo inatangaza kazi, jamaa anaandika barua, inapitishwa na branch manager kwa strong recommendations. Haipiti kwenye interview, anapata mwingine ambaye hajui lolote.
 

Interviews zinategemea , kama ni hizi za written na oral bila practical yoyote. Hata uwe na experience gani kufeli kupo pia maana ukikutana na fresher katoka chuo juzi, kichwa bado cha moto na kinge bado kipo mdomoni wakati wewe hukumbuki last time uliongea lini kiingereza 😁😁

Ndio hapo mtu unakibidhiwa kumfundisha kazi 😁
 
Nacheka mkuu sio kama mazuri ila tu ni swala lilivyokaa kihuni. Yani wanakuletea watu uwafundishe kazi kisha walipoweza wewe ukatimuliwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Serious mkuu Ni uhuni wamenifanyia hyo ofc aise sijapendaa upuuzi huo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…