Bil

Bil

BIL

New Member
Joined
Aug 17, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Niaje wana JF mi mwanachama mpya naomba mnikaribishe jamani ni kichwa kipya toka Tz.

samahani wewe ni Ke au Me?
Kwa mustakabali wa maandiko yake hasa hili neno "jamani" ODM anawathibitishia pasipo shaka kuwa ni Ke....

Mpatanishi waweza anza kupatana naye.......

jamani babu kwani 'jamani' inatumiwa na ke peke yao

Si umeona mwenyewe hapo? We ni He au Ke? Thibitisha hapa, we mwenyewe ushalitumia.

Ukiona dume linatumia neno jamani mara kwa mara....ujue si rizki hilo

Kwa mustakabali wa maandiko yake hasa hili neno "jamani" ODM anawathibitishia pasipo shaka kuwa ni Ke....

Mpatanishi waweza anza kupatana naye.......
Babu una vituko.....lol!!

karibu sana lakini pitia sana forum rules ndio katiba yetu jf sawa mkuu..

Similar Discussions

Back
Top Bottom