Bil 31 zinapotea kwa wafanyakazi hewa wa halmashauri kwa mwaka

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,204
18,543
Hayo yamesemwa na mheshimiwa magufuli alipo kua akitoa report ya utafiti ulio fanywa mkoani dodoma na singida na vijana alio watuma mwenyewe.

Jumla ya wafanyakazi: 26000
Wafanyakazi hewa: 202
Halmashauri za utafiti: 14

Tanzania ina halmashauri 180
Jumla ya wafanyakazi kama kila halmashauri itafanana na halmashauri za utafiti : 2597.1

kama kila mfanyakazi analipwa mil 1 ( aamechukua kama mfano mfano)


serikali inapoteza Bil 2.5971 kwa mwezi.

kwa mwaka bil 31.

Amewapa siku 15 wakuu wa mikoa kuwasaka hao wafanyakazi 2597.1


JMP naona unaendesha nchi kisayansi zaidi. Big up
 
Kama na huko amepaona basi nchi itasonga mbele kwamaaana kwenye halimashauri watu ndiko waliko jaa wafanyakazi hewa.
 
Waacheni na wao wapige hela jamani mbona jecha na shein wamepora ushindi wa maalimu Seif lakini hawajachukuliwa hatua yoyote
 
Kama na huko amepaona basi nchi itasonga mbele kwamaaana kwenye halimashauri watu ndiko waliko jaa wafanyakazi hewa.
watu watakua wanaogopa kupiga pesa maana hawajui jamaa atatuma watu wake.
 
Watu wengine wakitumbuliwa mi siwaonei huruma... Washatafuna sana... Wacha viwatokee puani
 
Wanasheria wengi wanaripoti na kuacha kazi haashauri,zaidi ya mwaka unakuta mshahara unaingia tu
 
sasa hivi ukitaka kula hela jifanye we usalma na umetumwa kwa shughuli ya wafanyakazi hewa ... utawala mpaka uchoke mwenyewe
 
Wanasheria wengi wanaripoti na kuacha kazi haashauri,zaidi ya mwaka unakuta mshahara unaingia tu
inavyo onekana ni kwamba hakuna control ya mfumo wa wafanyakazi. Inawekana sababu za wafanyakazi hewa ni za kiutendaji zaidi kuliko za kupiga pesa.
 
Back
Top Bottom