mkunga wa jadi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2025
- 208
- 431
Huku Pwani kuna bikra nyingi sana yaani kila ukienda kila nyumba kuna uwezekano wa kukuta na wasichana bikra kila kona yaani wazazi wa pwani wanajitahidi sana kulea watoto wao na ni furaha kubwa sana kwao mtoto kuolewa kuwa bikra aiseee
Na ni ngumu sana kukuta mabikra katika mikoa ya bara yaani watu wa bara wanaona sifa watoto wao kutolewa ubikra mapema sana tofauti na mikoa ta Pwani
Na ni ngumu sana kukuta mabikra katika mikoa ya bara yaani watu wa bara wanaona sifa watoto wao kutolewa ubikra mapema sana tofauti na mikoa ta Pwani