autorun255
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,105
- 364
Kati ya mwanaume aliyemtoa mwanamke/binti bikira au aliyemp mimba na kumzalisha yupi mjanja??
ukishajua itakusaidia nini
nitamshanga zaidi atayekujibu...
Kati ya mwanaume aliyemtoa mwanamke/binti bikira au aliyemp mimba na kumzalisha yupi mjanja??
mimi namjibu haiwezekani mtu afikirie miaka yote hyo leo tumkane, hata nguvu yake ya kuandka tu kaka! Kwake hili ni bonge la lijithread.nitamshanga zaidi atayekujibu...
Jukwaaa liko hili liko makini,yawezekana linaonekana swali la kijinga kwako au lenye maana.
Nimeuliza hivyo coz nimekuta mjadala unaendelea kuhusu suala hilo kuna baadhi wanadhani ni ufahari kumbikiri mwanamke ati utakua umeweka sahihi ya kudumu hatokusahau kamwe vile vile hata ukimwomba mgegedo baade hatochomoaaaaaaaaa....
Kwa upande mwingine wanaona kumpa mimba ni ujanja pia ni heshima.
Nadhan umeshawahi kuusikia/kuona video ya wimbo wa ray j - i hit it first
Jins anavyojigamba yeye alipita kwanza kwa kim kadarshian.
Kwa hio usidharau uzi huu ni mambo yanayotokea kwenye jamii zetu.
Ntarudi tenaaa baadae