Ni Mwanamke mwenye umri wa miaka 30,ambaye anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na hajawahi kujamiiana na mwanamume anayetarajia kufunga naye ndoa wala hajamfahamisha kama yeye ni bikira katika umri huo wa miaka 30,kwani anajisikia aibu kubwa kuwa bikira katika umri huo.
Hivyo alichopanga kufanya kabla ya siku ya harusi ni kwenda clinic au kitui chochote cha afya kutoa bikira hiyo.
SWALI: Je ungepewa nafasi ya
kumshauri, ungemshauri aendelee na huo mpango wake au ungempa
ushauri gani?
Je wewe kama mwanaume,ungekuwa ndiyo huyo mume mtarajiwa na siku hiyo ukakuta bibi harusi ni bikira katika umri huo wa miaka 30 ungeipokeaje hali hiyo?
Ni kisa cha kweli.
Hilo mbona si jambo la ajabu? Ninaawafahamu watatu ambao walipoteza u-bikra wao siku ya harusi katika umri wa 33-35 mmojawao ni shemeji yangu.
Ni Mwanamke mwenye umri wa miaka 30,ambaye anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na hajawahi kujamiiana na mwanamume anayetarajia kufunga naye ndoa wala hajamfahamisha kama yeye ni bikira katika umri huo wa miaka 30,kwani anajisikia aibu kubwa kuwa bikira katika umri huo.
Hivyo alichopanga kufanya kabla ya siku ya harusi ni kwenda clinic au kitui chochote cha afya kutoa bikira hiyo.
SWALI: Je ungepewa nafasi ya
kumshauri, ungemshauri aendelee na huo mpango wake au ungempa
ushauri gani?
Je wewe kama mwanaume,ungekuwa ndiyo huyo mume mtarajiwa na siku hiyo ukakuta bibi harusi ni bikira katika umri huo wa miaka 30 ungeipokeaje hali hiyo?
Ni kisa cha kweli.
Ulijuaje?
Dah! Yaani kweli tumefika mahali ambapo mwanamke ama mwanaume kuolewa na bikira ni kitu cha fedheha?! Maadili yameenda wapi? Kweli? Soon tutaambiwa ni fedheha kwa mwanamke ama mwanaume kutokua na nyumba ndogo! Aisee! Soon itakua fedheha kutokuzaa nje ya ndoa hata kwa wanawake,manake niliwahi kushawishiwa eti kama kikivunjwa chungu ama kukiwa na laana ya ukoo,basi kama mwanamama kachakachua walau kuna ambao hawataathirika!
I won't be surprised Mungu akikiri wanadamu tumemshinda!