Bikini kwanini zinapendwa sana?

Bikini kwanini zinapendwa sana?

mkuu picha nimeziona lakini zinatofauti na chupi(bikini)anayoiva wife. Yenyewe mbele inaupana kiasi lakini kuja nyuma umepitishwa kama uzi ama kamba(size ya kidole). Ninamaanisha akisimama kwa nyuma uwezi kuona kama ameva kitu labda uwangalie ile kamba kwa juu inapokutana na kamba ya kiuno
hiyo unayoongelea ni G STRING .. 51BItSDU9nL._SL160_SL150_.jpg
 
Macho yangu au ushambaa😞,mbona kama yuko uchi,hivyo vikamba kama vimepita kwenye mashavu ya something?au!!!!naomba kueleweshwa jama. miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Wanaovaa wanasema wanapendelea kuzivaa kwa sababu mistari ya chupi za kawaida hujichora jambo ambalo hawapendi. Ile kamba ikiingia maeneo haionekani.
 
Haaaa.....kumbe karibia kila kitu kina elimu yake.
 
kuvaa bikini sio umalaya kwanza kabisa bikini ni vazi ndogo lakini lina maana yake..ukivaa bikini huku upo na mmeo au mpenzi wako inampelekea apate mahashishi kwa haraka na kwajuu umevaa kicheni chako pia anakuwa hachoki kukuangalia na kukupapasa,pili inakufanya mwanamke uwe comfortable ukiwa umevaa kaanga yako uku unampikia hubby pembeni hahaha, na bikin inapendeza kuivaa ukiwa hom na hubby sio unaenda kazin umevaa bikin tako linatetemeka kam cm ikiwa kwenye vibration na ukiivaa saan inaachanisha matako katikati ndo maan inapendeza unaizaa ukiwa na hubby nyumbani

Yaaaani, genye zikipanda kale ka kamba kanasogezwa pembeni tuu....Astaghafirullahi...
 
Yaaaani, genye zikipanda kale ka kamba kanasogezwa pembeni tuu....Astaghafirullahi...

Hahahahaha umeonaa hata hausumbuki kutoa mara cjui nni yaan unakisogeza mchezo unaendelea haha haadi raah jmn lool
 
Back
Top Bottom