Bikini kwanini zinapendwa sana?

Bikini kwanini zinapendwa sana?

Bikini ni user friendly; nikitaka kuperfom live huwa inakuwa simple. Namwambia wife anasogeza pembeni kale kakamba then live perfomence inaanza. Hakuna uhusiano wa kuvaa bikini na uma***ya.,,
 
:heh: Mbona kawaida na zilikuwepo tangu enzi,ni pichu tu km zilivyozingine,ila ni nzuri km mtu amevaa nguo imemshika na hataki kuonyesha mstari ya pichu basi atavaa bikini ila haifai kwa wenye maumbo makubwa kwani huacha sehemu kubwa nje na hivyo kuonekana km hujavaa kitu. Ila kwa wenye maumbo madogo ni poa sana.
 
Binadamu ni kiumbe asiyependa kuamini kwa kuona tu.Ivae uitathmini kwa vitendo mkuu.😀😀
 
Maelezo kidogo kuhusu 'bikini'. Hili ni vazi linalovaliwa na wanawake hasa wakati wa kuogelea ambalo linafunika sehemu ya juu na sehemu ya chini kwa vipandi viwili tofauti vya nguo. Watu wengi saana tunafikiri 'bikini' ni zile pants za kike zenye ukanda mwembamba, ila sio maana halisi ya bikini. Bikini ni vazi la kike linaundwa na bra pamoja na panties kama vipande viwili tofauti as opposed to Monokini, hii inafunika top na bottom kwa kipande kimoja cha nguo, kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini (mtanisamehe kwa picha). Panties zenye ukanda mwembamba ni designs tu za panties ila haimaanishi ndio inafanya ziitwe bikini.

images (3).jpg images (2).jpg
..............Bikini............. Monokini..........
 
Attachments

  • 07-072815-swim-dream-bikini.jpg
    07-072815-swim-dream-bikini.jpg
    29.3 KB · Views: 484
Maelezo kidogo kuhusu 'bikini'. Hili ni vazi linalovaliwa na wanawake hasa wakati wa kuogelea ambalo linafunika sehemu ya juu na sehemu ya chini kwa vipandi viwili tofauti vya nguo. Watu wengi saana tunafikiri 'bikini' ni zile pants za kike zenye ukanda mwembamba, ila sio maana halisi ya bikini. Bikini ni vazi la kike linaundwa na bra pamoja na panties kama vipande viwili tofauti as opposed to Monokini, hii inafunika top na bottom kwa kipande kimoja cha nguo, kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini (mtanisamehe kwa picha). Panties zenye ukanda mwembamba ni designs tu za panties ila haimaanishi ndio inafanya ziitwe bikini.

View attachment 275270View attachment 275271
..............Bikini............. Monokini..........

mkuu picha nimeziona lakini zinatofauti na chupi(bikini)anayoiva wife. Yenyewe mbele inaupana kiasi lakini kuja nyuma umepitishwa kama uzi ama kamba(size ya kidole). Ninamaanisha akisimama kwa nyuma uwezi kuona kama ameva kitu labda uwangalie ile kamba kwa juu inapokutana na kamba ya kiuno
 
kuvaa bikini sio umalaya kwanza kabisa bikini ni vazi ndogo lakini lina maana yake..ukivaa bikini huku upo na mmeo au mpenzi wako inampelekea apate mahashishi kwa haraka na kwajuu umevaa kicheni chako pia anakuwa hachoki kukuangalia na kukupapasa,pili inakufanya mwanamke uwe comfortable ukiwa umevaa kaanga yako uku unampikia hubby pembeni hahaha, na bikin inapendeza kuivaa ukiwa hom na hubby sio unaenda kazin umevaa bikin tako linatetemeka kam cm ikiwa kwenye vibration na ukiivaa saan inaachanisha matako katikati ndo maan inapendeza unaizaa ukiwa na hubby nyumbani
 
mh kumbe .new gerenation but ni lazima mkwame.
 
Wasalamu ndugu zangu,

Wanajamiiforum wenzangu naomba mnisaidie katika hili la uvaaji wa chupi za bikini.

Ukweli niliwai kusikia hapo nyuma kupitia maneno ya watu; walipata kusema,"wanawake wanapenda kuvaa bikini kwa sababu kuu moja. eti kale kaupana kanachopita na kuingia kwenye anus yake kana mtekenya,kwaiyo anahisi raha.

Jamani kwa mwenyekujua zaidi au mwenye kuweza kunitoa kwenye mawazo yangu aya si vibaya kunielimisha zaidi.
Kiukweli kilicho nifanya kuandika aya ni baada ya kumuona wife wangu na yeye ameanza kuvaa.

Kiukweli nashindwa kuelewa kila nikifikiria maana ninayo ifikiria mimi. Mimi na yeye tuna watoto watatu sasa na wamwisho ana mwaka na miezi nane.

Noel france 09:32 Today
By MZEE TOLA:
mkuu si ungeanza kumuuliza huyo
mkeo uliyemuona anavaa hiyo bikini!
nitamuliza leo tena kwa style ya
mahaba.Lakini sidhani kama jibu
litakua na tofauti na alilonipa mara
ya kwanza. Alinijibu kwa kuniuliza
swali, kwani zinatatizo gani?
nikamjibu sifahamu ila nahisi kama
zinaweza kukuchubua flani.
"akanijibu hapana ila na mimi
mwanzoni nilihisi kama wewe
unavyofikiria lakini sasa naozipo
tofauti na nlivyokuwa nazifikiria.
akaendelea kuniambia kama unaona
zinatatizo niambie. Mzee mzima
nikapezea. Kama ninge
mjibu,angeniuliza maswali mengi
kuliko majibu.

Zina nyegesha upesi na haraka sana halafu ni user friendly.
 
Back
Top Bottom