USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 11,718
- 27,812
Kata ya NYAMIGOGO inaziunganisha wilaya ya biharamulo na chato lakini tangu Mungu kuumba dunia ilikuwa haina umeme na wananchi wa hapa walipata shida sana na kuichukia serkali yao kwa kushindwa kuwapatia umeme.
Katika uwakilishi wa mbunge Eng Ezra John Chiwelesa kata hii imepaata umeme inawaka wananchi wanafurahia uwakilishi wa mbunge wa huyu ambaye pia ni mtia nia katika uchaguzi mkuu 2025.
Katika kipindi cha Eng Ezra John Chiwelesa wilaya ya biharamulo imeshuhudia ukuaji wa kazi wa uchumi ikiwemo miundombinu ya afya ,shule ,barabara za lami na n.k
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa mujibu wa utafiti ni kuwa ukuaji maendeleo wa wilaya ya biharamulo umezidi kiwango chochote kile cha wilaya katika wakati wowote ule huku uanzishwaji wa miradi mipya ikiongezeka maradufu jimboni.
Kwa sasa biharamulo inao umeme wa uhakika kutoka gridi ya taifa na wahandisi wa REA wakiendelea kufikia vijiji vyote kwa mtawanyiko wa watu biharamulo