ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,685
- ..... ina maana Chadema walimpokea mtu asiye raia bila kuwaarifu Idara ya Uhamiaji?
Kwenye siasa, chama au mgombea hujitahidi kuonyesha tabia njema zaidi wakati wa uchaguzi. Kwa hiyo kama tukichora grafu ya tabia njema za wanasiasa au vyama vya siasa basi kilele cha grafu hiyo kitakuwa siku ambazo kulikuwa na uchaguzi.
Aina ya mijadala inayochukua kipaumbele katika chaguzi zetu inanifanya nijiulize, je, ni kweli wanasiasa wetu wanatambua mahitaji ya jamii?
Chaguzi zimejaa malumbano ya kuzomeana, kurushiana mawe, kuchimbachimba mgombea gani hajakamilisha nakala gani ili awekewe pingamizi, kulumbana juu ya nani amuachie nani kugombea n.k
Nilitegemea kipindi hiki kiwe fursa kwa wananchi wote wa Tanzania kuielewa kwa ukaribu jiografia ya Biharamulo, matatizo yanayowakabili watu wake na jinsi kila chama/mgombea kilivyojidhatiti kuyatatua matatizo hayo. Badala yake, kwa mara nyingine tena, wananchi wanaanza kusikia malumbano kama ya Mbeya,Tarime,Busanda n.k
Je, katika siasa za Tanzania kuvutanavutana bila kuzungumzia sera ndio inaonekana tabia njema zaidi? Na kama hivyo ndivyo ilivyo, je, tunategemea maendeleo yaje kama mikate inayoanguka toka mbinguni?
Ni vyema mijadala mingi ikazunguka kwenye sera na mikakati endelevu.
FMES bwana, saa nyingine unaniacha hoi bin taabani
Sasa Mkurugenzi Mkuu wa Uhamiaji anaripoti kwa nani? Hivi chadema wakianza kuuliza uraia wa watu unafikiri implication yake ni nini? Uchaga si ndo utashika kasi?
FMES bwana, saa nyingine unaniacha hoi bin taabani
kwa nini mafisadi wafukuzwee ccm??CCM cyo chama makini hata kidogo. kingekuwa makini kama mafisadidi wote wangefukuzwa uanachama na wawepo segerea au keko.
- Mkuu kama ikithibitika kwamba Oscar sio raia na aliwahi kuwa mwanachama wa Chadema huko nyuma kama Masanilo alivyosema, unasema politically Chadema hawatakuwa na kesi ya kujibu pia kama CCM?
FMEs!
- Mkuu kama ikithibitika kwamba Oscar sio raia na aliwahi kuwa mwanachama wa Chadema huko nyuma kama Masanilo alivyosema, unasema politically Chadema hawatakuwa na kesi ya kujibu pia kama CCM?
FMEs!
Mkuu FMES hivi kwa tanzania ilikuwaje akina Ulimwengu kuwa Raia baadaye wakavuliwa uraia kwamba si Watanzania ? Kwani Ulimwengu si alikwa Balozi nini bwana Afya wa mkoa .Tanzania lolote chini ya CCM linawezekana kabisa .CCM wakitaka inakuwa kweli na sasa ndiyo kila mtanzania ataona .CV si neno lakini je haya maneno ama CV ya wanao onekana kumjua unaisemaje
Chadema wange-invest kwenye real ishus muhimu kwa masilahi ya taifa huko Biharamulo
Jibu Hoja acha kujaza bandwidth.....kama huna issue kaa kimya ....si unaona William amepoa tu!!
Kiboko yako ni Mtanzania maaana akikutwanga huwa unakimbia kama masiku kabla ya kurudi
Jibu haya;
- Utaratibu wa CCM kutoa kadi za uanachama ziko vipi?
- CCM haijawahi kutoa kadi kwenye mikutano ya hadhara?
- Hebu niambie wakati unachukua kadi ulipeleka cheti cha kuzaliwa au passport yako au udhibitisho wa uraia wa wazazi wako?
- Kinchohitajika ni uthibitisho wa makaratasi mkuu, hata mimi ninaweza ku-speculate wewe sio raia Chadema wange-invest kwenye real ishus muhimu kwa masilahi ya taifa huko Biharamulo, badala ya kupoteza muda na none ishu kama hii, CCM hawawezi kubishana usiku kucha na kuishia kumpitisha a foreigner hilo ninakataa kwamba hawawezi,
- Chadema mnahitaji kuwa makini sana na hii ishu maana inaweza kuishia kuwatenganisha na wananchi wa Biharamulo, mnaweza kuwa mnachezeshwa mchezo mchafu wa uchaguzi wa CCM, tafuteni hoja nyingine hii itawaumiza jamani!
FMEs!
Unanidhibitishia kuwa CCM ni chuo cha mafisadi otherwise dhibitisha kuwa chadema wamechemka. Ulianza vibaya, ukarudi kwa mstari sasa mkuu naona unaichanganya kabisa.
- Yale yale tu hakuna jipya, tusubiri CCM na Oscar wajibu. later!
Respect.
FMEs!