Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,031
- 132,786
- Thread starter
-
- #501
Nikutana na mtaalam wa siasa za Biharamulo amenieleza WanaBimulo zao ni kufanya mambo kimya kimya, Chadema kama kawaida yake ndie mtawala wa maeneo ya mijini kwa wajanja na watu waliochangamka, CCM nayo kama kawa, wamewakumbatia wajumbe wa nyumba kumikumi. Kuna nyepesi nyepesi ambazo hazijathibitishwa na hakuna namna ya kuzithibitisha ni kuwa jana baada ya kufungwa kwa kampeni, misimbazi ilitawanywa kwa wajumbe wa nyumba kumikumi na 20,000 ya chenji chenji noti za 2,000 zikielezwa ni nauli ya kujia kwenye vituo vya kupigia kura leo asubuhi, kabla ya hapo kulitolewa madai kuwa kiongozi mmoja wa chama fulani alikwenda benki Biharamulo akiwa na Shilingi milioni 60 alizotaka chenji ya buku mbili mbili, benki wakawa hawana, wakaagiza chenji toka Bokoba!.
Huyo mtaalamu wa siasa za Bi'mulo anasisitiza wana Bi'Mulo sio WanaBusanda, fulana watavaa, kofia watajikingia jua na vumbi, fungu likimwaga watapokea, ila kura watampigia yule waliyeshamchagua.
Hawa jamaa ni wakimya cha ajabu, hata hamasa kuwa kunafanyika uchaguzi hakuna, vituo vya uchaguzi viko tupu, jamaa hawazungumzii siasa zozote mitaani ni kimya kimya.Saa kumi ndio hii, naanza kutembelea tena vituo kushuhudia zoezi la kuhesabu kura.

Zoezi la upigaji kura limeendelea kwa utulivu na amani ukiondoa matatizo madogo madogo ya hapa na pale.
Baadhi ya wapiga kura imekutwa picha jina limekosewa, au jina lipo picha imekosewa.
Idadi ya wasiojua kusoma na kuandika miongoni mwa wenye
Wazee ni wengi na hawakuja na watu wanaowaamini kuwapigia kura, matokeo yake wanazoa wasaidizi hapo hapo hali iliyopelekea yule msaidizi kumpigia kura mgombea tofauti na uliyemtaka. Nimeshuhudia bibi kizee mmoja ameweka kidole kwenye picha ya mgombea wa chama fulani, halafu anayempigia kura akatia tick kwa mgombea tofauti, bibi hajui kitu, kura hiyo ikakunjwa na kuishia sandukuni. Hiyo ni single incident, hali halisi ikoje kwa vituo zaidi ya 200.
kwanini mnagawa watu kwa makabila kama wamerakani wakiwa vitani? mimi niko-against ya kucategorize watu kwenye makabila kwa asilimia huo ni ujinga ambao tutakiwa kuepukana nao!Kwa sasa vituo ni tupu na hakuna kinachoendelea. Wakati tukiisubiri hiyo saa 10 ifike zoezi la kuhesabu kura lianze, sio vibaya nikawamwagia data chache kuhusu Biharamulo.
Ina eneo la kilomita za mraba zaidi ya elfu 5 na wakazi wanaokadiriwa kufikia zaidi ya laki 2. Kati yao Wasubi ndio wengi zaidi ya 35%, Waha 25%, Sukuma 20% na Wahaya 10%.
Profile ya Biharamulo inaonyesha wana utajiri mkubwa wa kilimo, mifugo na uvuvi mpaka wameweka data za mavuno, cha ajabu wametaja tuu kuhusu mgodi wa dhahabu wa Tulawaka lakini hakuna data zozote zinazoonyesha kunapatikana nini, inawezekana hata mrahaba unaishia kwenye matumbo ya watu.
Pia kunaonekana kuna shule 16 za sekondari ila haijaelezwa kama zinafika form six au zote zinaishia form four.
Yaani Biharamulo ina kila dalili za neema, ardhi nzuri yenye rutuba, madini, maeneo ya malisho, bado sipati picha huu umasikini wa Biharamulo unaletwa na nini!?.
Nikutana na mtaalam wa siasa za Biharamulo amenieleza WanaBimulo zao ni kufanya mambo kimya kimya, Chadema kama kawaida yake ndie mtawala wa maeneo ya mijini kwa wajanja na watu waliochangamka, CCM nayo kama kawa, wamewakumbatia wajumbe wa nyumba kumikumi. Kuna nyepesi nyepesi ambazo hazijathibitishwa na hakuna namna ya kuzithibitisha ni kuwa jana baada ya kufungwa kwa kampeni, misimbazi ilitawanywa kwa wajumbe wa nyumba kumikumi na 20,000 ya chenji chenji noti za 2,000 zikielezwa ni nauli ya kujia kwenye vituo vya kupigia kura leo asubuhi, kabla ya hapo kulitolewa madai kuwa kiongozi mmoja wa chama fulani alikwenda benki Biharamulo akiwa na Shilingi milioni 60 alizotaka chenji ya buku mbili mbili, benki wakawa hawana, wakaagiza chenji toka Bokoba!.
Huyo mtaalamu wa siasa za Bi'mulo anasisitiza wana Bi'Mulo sio WanaBusanda, fulana watavaa, kofia watajikingia jua na vumbi, fungu likimwaga watapokea, ila kura watampigia yule waliyeshamchagua.
Hawa jamaa ni wakimya cha ajabu, hata hamasa kuwa kunafanyika uchaguzi hakuna, vituo vya uchaguzi viko tupu, jamaa hawazungumzii siasa zozote mitaani ni kimya kimya.Saa kumi ndio hii, naanza kutembelea tena vituo kushuhudia zoezi la kuhesabu kura.
Wakimbizi na mamluki kibao huko. Huwezi kuongea ukiwa nchi nyingine kama huna uhakika na uraia wako.
Kwa wapinzani kutoungana na kumsimamisha mgombea mmoja, ni CCM Busanda, CCM Biharamulo na 2010 ni CCM kwa kwenda Mbele.
Mkuu Matu, matunduizi karibu mitaa hii, angalia hili ni bandiko la lini!.Paskali upo humu tangu miaka jukwaa linaanza sidhani kama Kuna Uzi wa kuhamasisha watu kupiga kura 2010,2015, labda 2020.
2009 🙏🏿Mkuu Matu, matunduizi karibu mitaa hii, angalia hili ni bandiko la lini!.
P
Tumeshawishi watu wapige kura miaka yote toka 19952009 🙏🏿
Unafanya kazi kubwa ingawa KWA Sasa imekuwa moja KWA moja sana kana kwamba Kuna hofu ya watu kitopiga kura. Ila hongera sanaTumeshawishi watu wapige kura miaka yote toka 1995
P
Kupiga kura ni hiyari, sitaki watu wadanganywe kuwa hakuna uchaguzi!. Uchaguzi Mkuu upo, wale wasiopiga watapigiwa!.Unafanya kazi kubwa ingawa KWA Sasa imekuwa moja KWA moja sana kana kwamba Kuna hofu ya watu kitopiga kura. Ila hongera sana