unaifahamu sababu ya mim kutaka kuhama? Hata kama kwako wew unamanufaa hlo ni juu yako na inategemea unaish b/mulo ya wapi ndugu, kuniita tu kilaza hata sioni shda ni kawaida kwa binadam alyekosa ustaarabu,nashukuru kipanga unaakili sana
ukishindwa maisha biharamulo usitegemee kuyapata hata huko unako taka kwenda, mi nimetoka mwanza nyamanoro mwaka wa 8 niko b/mlo, sitegemei kuondoka, unakataa kuishi ktk vijiji ulivyo vitaja unataka nani akaishi huko?. Ushirikina upo kila sehemu.