Bufa sisi ni donor country. Usipotoshe wananchi. Unataka kusema aliyetuaminisha kuwa nchi hii tajiri isipokuwa imechezewa sana alikuwa anadanganya?
Nchi hii ni tajiri sana ila watu wake ndio maskini kwa maana wameshindwa kutumia resources walizonazo kufanya maendeleo yao. Kila kitu kipo Tanzania na ndiyo maana nchi lazima igombaniwe kwa ajili ya kuchukua huo utajiri ambao hata wewe huamini kama unao. Wakati ule walipora moja kwa moja kama wakoloni lakini kwa sasa wanatumia mbinu nyingine kupora wakiwatumia wazalendo wenzetu kupitia ubia, misaada, mikopo nk. Ndiyo maana hutakaa usikie unapewa msaada utakaokusaidia ujiitegemee... Misaada yote ni pingu ya kutufanya tuwe tegemezi zaidi
Anamzungumzia zuzu johnthebaptist ,sio wewe kwa nilivyoelewa.Remind me lini nilifungua uzi mara ya mwisho?
Ahsante sana mkuuNchi hii ni tajiri sana ila watu wake ndio maskini kwa maana wameshindwa kutumia resources walizonazo kufanya maendeleo yao. Kila kitu kipo Tanzania na ndiyo maana nchi lazima igombaniwe kwa ajili ya kuchukua huo utajiri ambao hata wewe huamini kama unao. Wakati ule walipora moja kwa moja kama wakoloni lakini kwa sasa wanatumia mbinu nyingine kupora wakiwatumia wazalendo wenzetu kupitia ubia, misaada, mikopo nk. Ndiyo maana hutakaa usikie unapewa msaada utakaokusaidia ujiitegemee... Misaada yote ni pingu ya kutufanya tuwe tegemezi zaidi
Kwenye principles za kodi, ipo inayolenga uwezo wa mlipa kodi (ability to pay principle) kwamba mwenye pato kubwa alipe kodi kubwa pia.Serikali ipo busy kuwakaribisha wawekezaji watumbue rasilimali zetu bure bure tu na kudanganywa na vikodi kiduchu.
Huku ikiwakamua kodi na tozo wananchi wake.