wamelitoa wapi....
mimi najiuliza wameliingizaje humo?. mia
hongera kumbe nawe umeshuhudia pale ndio tanga kunani bwakariboishwa saaanaaaaMkuu hii nimeshuhudia Tanga. huu mchezo wanaufanya sana lakini is very risk. meli inashusha container taratibu na ile machine ( lift) inashusha mpaka kwenye hiyo mashua. ni hatari sana niliona mwenyewe ka sinema vile.
mimi najiuliza wameliingizaje humo?. mia
ni kweli kiongozi halafu wanakwenda safari ya mbali.usalama mdogo sana
mimi najiuliza wameliingizaje humo?. mia