Upscale Tanzania
Member
- May 8, 2018
- 75
- 34
Kwan kiswahili hujui mkuu Mana wengine hatujaelewaThese are Big Washing Machine suit For Hotel use or even Commercial Laundry also for Children Boarding Schools. Even for Home use.
Used Abroad
Brands Beko, Hotpoint etc
Their Capacity is 6kg which make you wash larger quantities of your clothes at one time.
More than 10 pieces available.
call us 0718032837, 0688184986
We are at Kariakoo opposite to Gerezani Mwendokasi Bus stand gates.
View attachment 903330
Huyu atakuwa amewalenga wasomi tu wa Uingereza.Kwan kiswahili hujui mkuu Mana wengine hatujaelewa
mkuu kiswahili mbona imejitafsiri yenyewe hapo juu.Kwan kiswahili hujui mkuu Mana wengine hatujaelewa
karibu mobotu, tupigie 0718032837, 0688184986Bei nzuri sana
Sijajua kwa hizi zinazouzwa ila mimi ninayoyo LG zinatumia umeme mdogo sana, hauzidi 10k kwa mwezi, maji ndio inatumia mengi japo zio kwa kiasi kikubwa sana hasa kwenye kusuuza nguo.Linakulaje umeme? Last price n ngap nataka moja
Kuna machine manual za kufulia zikoje? manual mimi najua ni mkono.Hizo ni auto matic au manual
Hii ni tsh ngapi na kilo ngapi? Maana ninavyoona uvivu kufua hii inanifaa.Sijajua kwa hizi zinazouzwa ila mimi ninayoyo LG zinatumia umeme mdogo sana, hauzidi 10k kwa mwezi, maji ndio inatumia mengi japo zio kwa kiasi kikubwa sana hasa kwenye kusuuza nguo.
Hizo ni auto matic au manual
hizi ndio manual washing machne, unatumia mkono, na hazitumii umeme.Kuna machine manual za kufulia zikoje? manual mimi najua ni mkono.
1.3 Mil kwa maduka ya vioo, sijajua kwenye maduka yenye mageti. hahahahahaHii ni tsh ngapi na kilo ngapi? Maana ninavyoona uvivu kufua hii inanifaa.
Manual zinafua tu automatic zinafua zinakausha zenyewe
washing machine zipi aina mbili (1) manual ni kama pichani niliyoiweka inatumia mkono tu na haitumii umeme kabisa, (2) nyingine ni automatic,
pia automatic washing machine zimegawanyika aina 3, (i) washer only, (ii) washer and dryer, and (iii) dryer only.
Kuna machine manual za kufulia zikoje? manual mimi najua ni mkono.
Manual ni ww mwenyewe unaingia ndani ya mashine af unafua gagulo zako.Kuna machine manual za kufulia zikoje? manual mimi najua ni mkono.
Automatic machine n auto ishia hapo maelezo mengine n manually
Automatic washer machine inamaanisha inafua, inasuuza na kukausha ukianza kuleta Mana ambazo hatuna tutashindwa kukuunga mkono punguza ujuaji nenda na uhalisia wa mazingira Kama unafanya biashara